Full 8
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 313
- 272
Mapato mengi sana ya serikali yanapotea katika ofisi za umma hasa malipo ya huduma mbalimbali zitolewazo mahakamani na taasisi mbalimbali za umma.
Hebu ona hii:-
1. Mtu Y; anahitaji barua ya uthibitisho mahakamani. Inahitajika kulipa shilingi 1000/= au 5000/=, ambayo inapaswa akiilipe kwenye akaunti benki. ili akalipe benki mtu Y; atahitaji
1. usafiri wa bodaboda (2000),
2 .kupanga foleni benki(masaa X) na
3. kupoteza muda ukishughulikia huduma hiyo (X).
Matokeo yake mtu Y. anaamua kutoa pesa hiyo kwa afisa aliyopo mahakamani na kugongewa mhuri na kisha kuendelea na shughuli zake.Kumbuka hatapewa risiti kwa kuwa serikali inahitaji matumizi ya mashine za EFD kwa kila huduma inayofanyika.
PENDEKEZO: Mamlaka husika zione umuhimu wa kuweza hizi mashine za EFD katika ofisi za umma ili kuokoa hizi pesa ndogondogo zinazoishia katika mifuko ya watu.