Habarini wana bodi.
Nitumie muda huu kuwakumbusha vijana muache kuwa makarai maana mtatumika na baada ya kazi kukamilika mtatupwa tu.
kila mtu apambane na hali yake na jiongeze panapobidi...
Nimekua nikisikiliza watu kwenye TV wakiongelea kwamba tatizo la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu ni kutokuwa mfumo wa kufundisha wanafunzi kujiajiri katika vyuo vyetu.Mimi naomba...
Wataalamu wa anga za juu wamegundua sayari isiyo na joto sana na yenye ukubwa unaokaribia sana na wa dunia.
Sayari hiyo inapatikana karibu na mfumo wetu wa Jua.
Mandhari katika sayari hiyo...
WAJUMBE wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Mirerani, wamewataka wauzaji wa mabucha ya nyama kwenye eneo hilo kushusha bei ya kitoweo hicho kwa kuwa haiendani na hali halisi.
Mwenyekiti wa mamlaka ya mji...
Livestock and fisheries minister Luhaga Mpina has directed authorities in Kagera Region to nationalize and auction a total of 6,648 head of cattle from Uganda confiscated recently from the Misenyi...
JINSI YA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO
Huu ndio mfumo rasmi wa maumbile ya binadamu. kwamba kila kitu ndani yetu hujiumba kupitia namna ya mawazo yasiyo wazi sana katika ufahamu wetu. Nayo hukua taratibu...
Idadi ya mabilionea wa Tanzania kwa mujibu wa Jarida la Forbes inaendelea kuongezeka wakati taifa hilo liking’ara kiuchumi kulinganisha na mataifa mengine ya Afrika Mashariki.
Mbali na majina...
Hata jogoo ukimkata shingo yake ghafla na kutenganisha kichwa na kiwiliwili kichwa kinaweza kuendelea kuwika.
Hofu na kelele nyingi zinazosikika nchini inawezekana kabisa zikawa ni za wale...
Kila uchao kumekuwa na maongezeko ya adha katika utumiaji wa barabara tokea kwa askari usalama barabarani. Hivi sasa wamekuja na jingine la kuyasubiria magari kwenye vivuko vya watembea miguu na...
Katika mjadala unaoendelea sasa ktk kipindi cha Clouds 360 watangazaji wa kipindi hicho wameiponda meli ya matibabu ya bure ya wachina wakidai tatizo la lugha litawagharimu wananchi.
Hassan...
Nimecheka sana leo, kuna mtu anasema anauguliwa na mama yake, na amempeleka hospitali mbalimbali, dawa mbalimbali za kienyeji na za kisasa zimetumika ili kuokoa maisha yake, kwa wachungaji ameenda...
Nimenunua bidhaa za ujenzi za Tsh 210, 000 lakini RISITI YA EFD inasoma total cash Tsh 178, 000 na VAT Tsh 27, 152. Nilipomuuliza mbona mashine yake haitoi risiti sahihi maana 18% ya 210, 000/=...
Pamoja wakuu!
Tulipokuwa mashuleni, ktk kampeni za uongozi (viranja) wakati fulani liliibuliwa swali kwa mgombea wa u-Head Boy. Swali lilianza na maeleo marefu: kuwa wanafalsafa wa kigiriki...
Msichana mmoja huko San Fransisco Marekani aliamua kupeleka tukio lake la kufunga ndoa kwenye hospitali ambayo baba yake anelazwa kwa maradhi ya Saratani.
Vieneese ambaye alikuwa anafunga ndoa...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mfumo wa elimu nchini hausaidii kukidhi mahitaji ya nchi kwa sasa hivyo serikali inawakaribisha wadau wenye maoni na mapendekezo yatakayosaidia kuboresha sera...
Mapema kabisa tuliwambia haya mambo ya bure ni laana tu kwanini msijiulize maswali ya msingi kuhusu Huduma mbovu za afya hapa nchini?
Mkasahau kama kawaida yenu mnaishi kwa matukio na ndiyo maana...
Wazee wa mila na desturi kwenye kabila langu waliamini kuwa watu wanaozaliwa na vichwa visivyo na kisogo wanakuwa na uwezo mdogo kiakili. Hili suala nimekaa nalo Muda mrefu sana nikilifanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.