expedition
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 943
- 3,021
Habarini wana bodi.
Nitumie muda huu kuwakumbusha vijana muache kuwa makarai maana mtatumika na baada ya kazi kukamilika mtatupwa tu.
kila mtu apambane na hali yake na jiongeze panapobidi.
ACHENI KUWA MAKARAI.