Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wana-Lindi na wana-Ruangwa watumie fursa zilizopo ili kufanikisha maandalizi ya sherehe za Maulid na Baraza la Maulid Kitaifa mwaka huu. Ametoa wito huo jana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sehemu kubwa ya tumbo lake ipo wazi, macho yake mekundu yanalengalenga machozi. Ghafla anaaza kulia huku akijiviringisha chini. Jasho linamtiririka. Mikono yake na mdomo vinatetemeka, vishikizo...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Inaelezwa kuwa zaidi ya watu laki 1 huathirika na mafuriko ya mto Songwe kila mwaka ambao ni mpaka wa nchi za Tanzania na Malawi. Ili kuhakikisha maji yanatumika kwa matumizi endelevu, nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nataka kushare na nyinyi kaistoria haka na amini kwa namna moja au nyingine inaweza kukusaidia kwenye maisha yako kama unatafuta kazi. Baada ya kumaliza chuo mtihani wangu wa mwisho ilikuwa...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimekuta Kijana wangu wa umri mdogo kama amepandwa na kichaa vile, baada ya kufanya uchunguzi wa kina nikakutana na hiyo kitu kwenye Bag lake... Swali langu mpaka sasa .. Hii ni Pombe gani? Iko...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Salum Njwete maarufu kama ‘Scorpion’ (35) ameiomba Mahakama ya Wilaya ya Ilala kumwachia huru kwa madai kuwa hauhusiki na unyang’anyi wa kutumia silaha na kumjeruhi, Said Mrisho. Njwere...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Taasisi ya Uthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania ( TOSCI ) kanda ya Ziwa imeyafunga maduka 34 ya pembejeo za kilimo baada ya wamiliki wake kubainika kuuza mbegu bila kuwa na vibali. ITV
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wandugu habari, Ni mabadiriKo yasiyokuwa na mabomu ya machozi,maji ya kuwasha , vifo, hata mawe kama vile tukishuhudia katika nchi nying za Kiislamu , Wanzimbabwe ni mfano wa kuigwa DUNIA nzima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo hapa naangalia kipindi cha Clouds 360, hongera Ruge kwa kutimiza ahadi kwamba mtarejea hewani soon!
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) chaiomba serikali kufuta amri inayozuia Halmashauri zote nchini kushirikiana na Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali pasipo kibali kutoka TAMISEMI
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani, mamlaka husika mkoani geita, tafadhali sisi kama wananchi wa katoro, tunaomba watumishi wa dispensary hii wachunguzwe, wagonjwa wanazidiwa, bila huduma yeyote kupewa, waganga na manesi...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Wadau Inadaiwa kuwa wavuvi 3 wametoswa baharini huko mafia na hii baada ya kukutwa wakivua katika eneo la hifadhi ya bahari. Kufuatia madai hayo Naibu Waziri Uvuvi na Mifugo Mhesh Abdalah Ulega...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sio siri tena wafanyakazi wa Kanisa la Roman Catholic hasa wahadhiri katika vyuo vikuu vinavyimilikiwa na Kanisa hilo wameonja joto ya jiwe kwa kukaa miezi minne bila mshahara. Kama taasisi hiyo...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Kupitia mahojiano mbali mbali ya baadhi ya waandishi wa habari na wapangaji wenzie wanaeishi na Dr. Shika tumeweza kujua namna maisha ya dokta huyo yalivyo ya tabu na ikisemekana kuwa dokta huyo...
41 Reactions
151 Replies
21K Views
katika hali ya uhalisia na amini makonda kaonyesha mwanga kwa viongoz fulani kupiga kazi sana kwa sababu ya uoga wa kutumbuliwa ,kume kuwa na vita juu yake kuwa hana vyeti,ana vamia vituo vya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa JF Mojawapo ya malengo ya Serikali ya awamu ya tano ni Uboreshaji wa Sekta ya Afya nchini. Malengo hayo yanazidi kutimia pamoja na changamoto mbalimbali zinazojitokeza.Katika kutekeleza...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimesikiliza sana kampeni ya kataa kuwa kaa yani kuna mtu kalengwa kwa maana anawivu apendi kuona wenzake wanapaa sikiliza utajua ni hayo tu Ila wanempiga mtu.
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Wana jamii, Naomba maelekezo. Kwa muda mrefu nimekua natumia vinywaji vya bei mbaya kama vile johnny walker black na Glenfiddich. Sasa vyuma vimekaza nimejaribu konyagi naona kama iko poa lakini...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Nani mwenye utaalamu na gharama za kuanzisha biashara hizi ! Gharama za investment Equipment required Na mengine
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Kesi hiyo inasikilizwa kesho asbhi katika mahakam ya mjini Shinyanga! Chama wa wafanyakazi Numet kinawawakilisha wanachama wake
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom