Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,071
Wazee wa mila na desturi kwenye kabila langu waliamini kuwa watu wanaozaliwa na vichwa visivyo na kisogo wanakuwa na uwezo mdogo kiakili. Hili suala nimekaa nalo Muda mrefu sana nikilifanyia tafiti, kwa bahati nzuri kwa miaka mitano nilikuwa mwalimu wa sekondari nikawa kama nipo kwenye research madarasani.
Hii Imani ina UKWELI ndani yake, niligundua kuwa vipanga wote darasani walikuwa na visogo lakin wenye vichwa flat, most of them were slow learners and hopeless.
Hii Imani ina UKWELI ndani yake, niligundua kuwa vipanga wote darasani walikuwa na visogo lakin wenye vichwa flat, most of them were slow learners and hopeless.