CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 855
Nimecheka sana leo, kuna mtu anasema anauguliwa na mama yake, na amempeleka hospitali mbalimbali, dawa mbalimbali za kienyeji na za kisasa zimetumika ili kuokoa maisha yake, kwa wachungaji ameenda kwa ajili ya maombi ila hakuna matumaini. Kwa hiyo anaomba ushauri nini afanye.
Mtu mmoja akajitokeza na kuwambia inaonesha anaficha ficha ugonjwa wa mama yake. Kwamba kama ni UKIMWI basi hata kwa MUNGU hawezi kupona, nimecheka sana.
Mtu mmoja akajitokeza na kuwambia inaonesha anaficha ficha ugonjwa wa mama yake. Kwamba kama ni UKIMWI basi hata kwa MUNGU hawezi kupona, nimecheka sana.