Afunga ndoa hospitali alikolazwa baba yake

Afunga ndoa hospitali alikolazwa baba yake

SDG

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
7,631
Reaction score
8,078
Msichana mmoja huko San Fransisco Marekani aliamua kupeleka tukio lake la kufunga ndoa kwenye hospitali ambayo baba yake anelazwa kwa maradhi ya Saratani.

Vieneese ambaye alikuwa anafunga ndoa aliamua "kumsapraizi" baba yake Mzee Preston Rolan kwa kumuibukia na gauni la harusi hospitali hapo.

Timu ya manesi 150 pamoja na wapishi wa hospital hiyo walijitolea kumsaidia Vieneese kupamba eneo maalum na kuandaa chakula kwa ajili ya tukio hilo.

Baba mtu alishikwa na fadhaa sana alipomuona mwanaye hospitalini hapo akiwa kwenye shela, lakini hakuwa na namna.

Chanzo: dailymail

_20171121_164607.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom