Wakazi wa Dar, mtamuamini tena Makonda ?

wanaojulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
576
Reaction score
902
Mapema kabisa tuliwambia haya mambo ya bure ni laana tu kwanini msijiulize maswali ya msingi kuhusu Huduma mbovu za afya hapa nchini?

Mkasahau kama kawaida yenu mnaishi kwa matukio na ndiyo maana akili zenu hazibadiliki kabisa, kesho tena huyo huyo Makonda atakuja na kiki nyingine mtaenda tu maana hakuna namna mmekuwa kama wajinga.

Kumbe wale wachina wanapima presha, mkojo na full blood picture, yule ndugu yenu akawambia mtakuwa mnafanyiwa na operation na nyinyi mkajazana weeeee kwa kupenda bure, Makonda siku zote hajawahi kufanikisha chochote kile chenye faida kwa jamii zaidi ya misifa ya kijinga.

Poleni sana nadhani akili zenu ipo siku zitawakaa sawa tu.
 
Aiseee nadhan we ndo utakuwa umechanganya kwa hyo ulitaka walipe hela
 
Mapema kabisa tuliwambia haya mambo ya bure ni laana tu kwanini msijiulize maswali ya msingi kuhusu Huduma mbovu za afya hapa nchini?

Mkasahau kama kawaida yenu mnaishi kwa matukio na ndiyo maana akili zenu hazibadiliki kabisa, kesho tena huyo huyo Makonda atakuja na kiki nyingine mtaenda tu maana hakuna namna mmekuwa kama wajinga.

Kumbe wale wachina wanapima presha, mkojo na full blood picture, yule ndugu yenu akawambia mtakuwa mnafanyiwa na operation na nyinyi mkajazana weeeee kwa kupenda bure, Makonda siku zote hajawahi kufanikisha chochote kile chenye faida kwa jamii zaidi ya misifa ya kijinga.

Poleni sana nadhani akili zenu ipo siku zitawakaa sawa tu.
Duhhh!!! Ya kweli haya mkuu!???

Ila Bashite na baba yake wanapenda sana kusema uongo, bila kufikiria kwamba uongo haudumu milele bali ni suala la muda tu ukweli hujiweka wazi!
 
Mi nkajua wanatibu na ukimwi... Kumbe wanafanya vipimo tuu nilitaka niwajaze ndugu zangu wa kutoka nkoani ntwara waje ajipatie huduma... Nikimaliza hapo ndugu zangu wa njombe...

Kumbe ni vipimo tuuu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bashite hakuna alicho fauru toka dunia iumbwe
 
Mapema kabisa tuliwambia haya mambo ya bure ni laana tu kwanini msijiulize maswali ya msingi kuhusu Huduma mbovu za afya hapa nchini?

Mkasahau kama kawaida yenu mnaishi kwa matukio na ndiyo maana akili zenu hazibadiliki kabisa, kesho tena huyo huyo Makonda atakuja na kiki nyingine mtaenda tu maana hakuna namna mmekuwa kama wajinga.

Kumbe wale wachina wanapima presha, mkojo na full blood picture, yule ndugu yenu akawambia mtakuwa mnafanyiwa na operation na nyinyi mkajazana weeeee kwa kupenda bure, Makonda siku zote hajawahi kufanikisha chochote kile chenye faida kwa jamii zaidi ya misifa ya kijinga.

Poleni sana nadhani akili zenu ipo siku zitawakaa sawa tu.
Hatujamchagua sisi
 
Rubbish!
 
Idadi ya waliojitokeza ni kubwa sana, na hawawezi kuhudumiwa ndani ya siku tano. Watakaopata hiyo huduma watakuwa wachache.
 
Yamefanyika Mnazi Mmoja. Ulikuwa usanii tu. Kwani wakiboresha hospitali za Serikali nani ataenda kwa Wachina?
Sasa tunaishi kwa maigizo kama Bongo movie.
Haya yanawezekana katika nchi ya wajinga tu.
 
Mwenye uelewa finyu hatokuelewa kabisa. Kwa kweli huduma za afya ni HAKI sio FADHILA.
 
Mapema kabisa tuliwambia haya mambo ya bure ni laana tu kwanini msijiulize maswali ya msingi kuhusu Huduma mbovu za afya hapa nchini?

Mkasahau kama kawaida yenu mnaishi kwa matukio na ndiyo maana akili zenu hazibadiliki kabisa, kesho tena huyo huyo Makonda atakuja na kiki nyingine mtaenda tu maana hakuna namna mmekuwa kama wajinga.

Kumbe wale wachina wanapima presha, mkojo na full blood picture, yule ndugu yenu akawambia mtakuwa mnafanyiwa na operation na nyinyi mkajazana weeeee kwa kupenda bure, Makonda siku zote hajawahi kufanikisha chochote kile chenye faida kwa jamii zaidi ya misifa ya kijinga.

Poleni sana nadhani akili zenu ipo siku zitawakaa sawa tu.
Bashiteeee.........
 
Huduma za kiafya hazitoshelezi.
Then meli madaktari wa kichina wanatibu bure baadhi ya magonjwa wanawatibu watz wenzetu :- wengine tumechukia hicho kitendo,,, tunailaumu serikali kukubali wachina wafanye huduma hiyo hapa nchini,,, huu ni ubinafsi mkubwa kuliko hata wa Lucifer.

Tuikosoe serikali, tuishauri serikali lakini tusichukie watz wenzetu kutibiwa bure na wachina...
 
Back
Top Bottom