Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau wa JF Mojawapo ya malengo ya Serikali ya awamu ya tano ni Uboreshaji wa Sekta ya Afya nchini. Malengo hayo yanazidi kutimia pamoja na changamoto mbalimbali zinazojitokeza.Katika kutekeleza...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimesikiliza sana kampeni ya kataa kuwa kaa yani kuna mtu kalengwa kwa maana anawivu apendi kuona wenzake wanapaa sikiliza utajua ni hayo tu Ila wanempiga mtu.
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Wana jamii, Naomba maelekezo. Kwa muda mrefu nimekua natumia vinywaji vya bei mbaya kama vile johnny walker black na Glenfiddich. Sasa vyuma vimekaza nimejaribu konyagi naona kama iko poa lakini...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Nani mwenye utaalamu na gharama za kuanzisha biashara hizi ! Gharama za investment Equipment required Na mengine
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Kesi hiyo inasikilizwa kesho asbhi katika mahakam ya mjini Shinyanga! Chama wa wafanyakazi Numet kinawawakilisha wanachama wake
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano nchini (TCRA) imekitoza kituo cha redio cha Clouds FM faini ya shilingi milioni 12 ikiwa ni pamoja na kupewa onyo kali kwa sababu ya kukiuka maudhu na kanuni za...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi everyone, I'm an experienced Web & Graphic designer with IT skills, Online marketing, Data presentation & Communication. I'm looking for job, I have 3 years of experience. I can work in media...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
''Watoto wakakua, Esau alikuwa mtu ajuaye kuwinda wanyama, mtu wa nyikani, na Yakobo alikuwa mtu mtulivu, mwenye kukaa hemani'' Mwanzo 25:27 Wapendwa karibuni kwa michango kuhusu fungu letu...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Hapa nimekaa naandika huu uzi nikiwa nakura karanga za diamond, naangalia ka pakti haka kameandikwa kana uzito wa gramu 20 tu nimekanunua kwa shilingi 300. Yaani kwa lugha nyingine ukinunua kilo...
11 Reactions
43 Replies
10K Views
Gesi za kupikia za akina Manjis na Oryx zimechakachuliwa Gesi wamezidisha liquid na zinaharibu majiko
9 Reactions
33 Replies
6K Views
Kwema wakuu, Nauliza wapi nitapata huduma ya GYM (,sehemu ya body building) maeneo ya kuanzia, Africana, kuja Tegeta, Bunju, au hata Bagamoyo, ili ku stay in shape na kupunguza calories.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiwango cha juu ni gbp 1200 kumhonga demu. Lakini kwasasa nalaumiwa kutohonga kwani nimejifunza no matter how much you give out, they will always keep complaining... siku hizi nikitoka na demu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii saga ilipita na akina Gabriel Zakaria. Clouds wamefanya makosa TCRA wamepita nao kama mwewe. Je,TBC walilupishwa?
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufuatia mfumo mpya wa usahishaji mitihani ambao umechukua siku 18 tu kusahisha mitihani yote ya watahiniwa wa kumaliza elimu ya msingi Nchini Kenya, Rais Kenyatta ameagiza wanafunzi ambao kwa...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
1. ikitokea CCM inashirikiana na TCRA kuchambua posts na habari za watu kadhaa then wanapata post yenye ishara ya kukuweka 30yrs jela, then unaitwa kwasiri unaambiwa kijana the best option ni...
2 Reactions
1 Replies
921 Views
Kuna jamaa mmoja ni mwalimu alinikopa laki tatu nikampa akaniahidi atarudisha mapema lkn hadi sasa ni miezi sita imepita kwenye cm hapatika halafu cha kushangaza zaidi ameibainika alikugushi vyeti...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
nakumbuka mh Rais alipotembelea TBC pale aliongelea kuhusu hawa makanjanja wa kichina! cha kushangaza mpaka leo wanakula bata na WANAPANDISHA bei za vifurush kila kukicha! swali langu je nani yupo...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Natamani tuwe na Tanzania bora.Natamani tuwaachie watoto wetu nchi iliyojengeka ktk misingi bora ya kujitambua,kujiamini na kujieleza. Ninawaasa vijana wenzangu tujitahidi kutumia fursa na hasa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu members wa jukwaa pendwa la JF, kama kichwa cha habari kinavojieleza ningependa kuanzisha kamsemo kapya"Tunajengelea makaburi'' nafikiri itapendeza zaidi. Bila kuwachosha ngoja nianze...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Back
Top Bottom