Kuna sehemu nimeona watu wanafanya mashindano ya kukimbiza kuku, watu wapo rundo zaidi ya 20 wanamkimbiza kuku.
Nilichokiona kwa yule kuku alikua na stress za ukweli ame panic anakimbia kuokoa...
Hili ndio linaenda kuwa taifa jipya duniani baada ya South Sudan mwaka huu ama mwanzoni 2027.
Kila kitu kimekamilika kuwa taifa. Inasubiriwa tu uthibitisho (approval) kutoka serikali na bunge la...
Habari wote.
Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea...
Juzi nimetoka ofisi za TTCL mhudumu kanambia kaa hapo kwanza alafu hivi viti vipo mbele ya ofisi yake sijui ndio tuite meza.
Mda wote ananiangaliaa, nimekaa wee mpaka nikachoka akawa anapitqpita...
Dakawa mzani Basi la happy nation namba T 452 EDW limelala. Sababu ni mvua.
Kama ulikuwa unamsubiri ndugu yako pole sana.
Mtandao haushiki na mazingira ni mabaya.. Waruguru wametoa macho kama...
Tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipounda Tume ya kuchunguza matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, changamoto kubwa iliyoikabili Tume hiyo imekuwa wingu la mashaka kuhusu...
Kwa wale watu wanaoomba, kusali na kuswali, unapofanya maombi au dua unakuwa unamkumbusha mungu au unamuomba mipango yake ibadilike?
Maombi yanabadilisha jambo lolote alilolipanga mungu?
Na pia...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kukamilisha mchakato wa kumpata mkandarasi wa ujenzi wa barabara ya Kisarawe hadi Maneromango, wilayani Kisarawe...
Kuna mambo kadhaa nimekosea kwenye maisha yangu lakini sababu kubwa ni kukosa mshauri.
Sasa hapa naweza case yangu naomba unishauri ili nisirudie tena makosa.
Kwasasa nipo mkoa wa X
Miaka ni 26...
Hapa Tanzania.
Narudia tena, hapa Tanzania kijana jitahidi kupambania familia yako (wewe mwenyewe, mke/mume na watoto) basi. Mengine achana nayo maana hutayaweza.
Kama unaingia kwenye siasa ingia...
Inashangaza sana leo karne ya 21 iliyo kasi zaidi kiteknolojia kuna watu hasa wa upinzani wanaojenga hoja kwanini Fred Vunjabei akubalike zaidi Isimani kuliko Kalenga alipozaliwa mara baada ya...
Wakuu mnamkumbuka bwana mdogo Rashid Charles Mberesero, Mpare, aliyekuwa moja wa masterminder wa shambulio la Garisa University na kuua 148, amejinyonga Gerezani leo
Mapambano mema na kaburi na...
Leo ni meli tatu pekee zinaonekana kuwa zimepitia hadi sasa, katika mlango bahari wa Hormuz kulingana na uchambuzi wetu wa data za MarineTraffic
Kulingana na uchambuzi wa data za ufuatiliaji...
Kasulu. Licha ya kilimo kuwa shughuli kuu ya uchumi kwa wakazi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, ikiwahakikishia usalama wa chakula na kipato kwa kuuza mazao, shughuli hiyo sasa inatishia hatima...
Kutokana na kukithiri kwa tatizo la wazazi kutelekeza watoto wao na kwenda kwenye makambi ya kilimo wilayani Kasulu Mkoa wa Kigoma, uchunguzi umeonyesha kuwepo kwa mtazamo hasi kwa elimu.
Awali...
Utangulizi
Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na...
Sina lengo la kujisifu ila nahitaji msaada wa kisaikolojia au kitu kama hicho.
Nilikuwa mtu wa ku share ideas ila watu wengi walikuwa wanazikataa kuwa hazifikiki au ni malengo makubwa kuliko...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa ametoa sababu kwanini wanafikia hatua ya kufungia Baadhi ya Vyombo vya Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.