Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu wimbo nimekutana nao insta,nikaona niufuate YouTube Wimbo umenijeruhi hisia,ndani ya dakika tano,kwa mashairi mazito na mkong'osio(melody) wa hisia za juu,umeelezea ukoloni ulivyoingia na...
4 Reactions
8 Replies
225 Views
Hivi wapo majasusi waliofanya kazi za hatari kupambania mataifa yao uku Afrika chini ya jangwa la sahara hata hapa Tanzania? Je, waliwahi fanya matukio gani magumu nje ya kuwakamata na kuwaua...
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Timu ya mashirika mbalimbali imekamata basi linaloelekea Kenya kutoka Tanzania lililokuwa limebeba bangi yenye thamani ya takriban (Shilingi milioni 2.5 za Kenya) sawa na Tsh. 49 Milioni katika...
3 Reactions
6 Replies
308 Views
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi leo Aprili 22, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma. Aidha, kabla ya uwasilishwaji bajeti...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Mwanzo nilikua najua kwamba ili kuku watage mayai lazima wawe wamepandiwa na jogoo, nilikua na amini hivyo kwa miaka na miaka hadi siku za karibuni Kiuhalisia ni kwamba kuku anataga kwa mzunguko...
4 Reactions
8 Replies
314 Views
My Take Kwa wale tulioko kwenye sekta ya Kilimo ,hizi takwimu zinakatisha tamaa na zinalazimisha kurudi kwenye drawing board...
1 Reactions
3 Replies
248 Views
Sasa hivi haya mambo yamekuwa ni ya Kawaida kiasi kwamba watu wakiyasikia hawastuki sana Haya mambo yalianza miaka ya 90.. Uumbaji ulipoanza kunajisiwa kwa kasi ya aina yake Wababa kutembea na...
19 Reactions
58 Replies
1K Views
Jana Aprili 21, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Taa za Barabarani zilizopo Sakina Triple A / Arusha Technical College hazifanyi kazi kwa zaidi ya miezi minne hali inayoongeza hatari ya...
1 Reactions
0 Replies
161 Views
‎Kero na changamoto yetu kubwa ni kuhusu Barabara ya Muheza - pangani ( Pangani - Muheza ) ..... ‎ ‎Hiii ni Barabara ambayo ni kubwa sana inayotumika , kupita viongozi wa serikali kuanzia Rais ...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais, Samia Suluhu ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia maadhimisho ya Sherehe za Muungano mwaka huu, zitumike kukarabati miundombinu ya...
0 Reactions
6 Replies
294 Views
Binafsi nimetulia sehemu napata kinywaji hasa baada ya leo kumaliza kikao cha bodi ya wakurugenzi salama bila mushkeli. Nipe uzoefu wako wewe mambo huwa yanaendaje baada ya jambo ambalo huwa...
2 Reactions
29 Replies
274 Views
Wosia Wangu kwa Wasiokuwa Waislam kuingia katika Uislam Ndugu zangu wapendwa, Ninawaandikia kwa moyo wa upendo na kujali, nikitamani kheri kwenu duniani na Akhera. Katika maisha haya, kila mmoja...
7 Reactions
90 Replies
1K Views
Muuguzi msaidizi wa Hospitali ya Mji Same, Asha Bakari (25), amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni na mpenzi wake usiku wa katika makazi ya watumishi wa hospitali hiyo. Mkuu wa Wilaya...
0 Reactions
10 Replies
474 Views
Yaani Rais ame implement kitu chenye tija ila alipoondoka tu utaratibu umekufa viongozi huku local hawafuatilii tena. Kwanini isiitwe mandazi republic?
0 Reactions
17 Replies
204 Views
  • Redirect
#HABARI Muuguzi msaidizi wa Hospitali ya Mji Same, Asha Bakari (25), amefariki dunia baada ya kudaiwa kuchomwa kisu shingoni na mpenzi wake, tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi. Tukio hilo...
0 Reactions
– Replies
– Views
UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni...
3 Reactions
9 Replies
664 Views
Mwaka 2018 hadi 2020, Tanzania ilishuhudia moja ya scam kubwa na werevu zaidi katika historia ya kifedha ya nchi. Mfanyabiashara kijana aitwaye Tariq Machibya, anayejulikana zaidi kwa jina la Mr...
0 Reactions
7 Replies
581 Views
Ni swali dogo tu ambalo wewe member unatakiwa ulijibu kulingana na ulivyo humu jukwaani. Je unaendana slogan ya jukwaa hili?
2 Reactions
4 Replies
120 Views
Wakuu kwema, napenda kujuwa bank bora upande wa online transaction
1 Reactions
3 Replies
157 Views
  • Redirect
Muuguzi msaidizi wa Hospitali ya Mji Same, Asha Bakari (25), amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni na mpenzi wake usiku wa katika makazi ya watumishi wa hospitali hiyo. Mkuu wa Wilaya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom