Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita.
Tutatumia...
Je, umewahi kujiuliza hisia halisi za kusimama juu ya Afrika? Sasa ni muda wako!
Tunakupeleka katika safari ya kipekee ya kupanda Mlima Kilimanjaro – "The Roof of Africa" – kwa mpangilio ulio...
Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo...
Msimu wa 10 wa mbio ya Betika Mbeya Tulia Marathoni umezinduliwa jijini Dar es Salaam, huku waandaaji wakilenga kukusanya Sh300 milioni kwa ajili ya kusaidia kuboresha miudombinu ya afya na elimu...
Askofu Yvette Flunder, kiongozi mkuu wa kanisa la City of Refuge United Church of Christ na mkuu wa umoja wa makanisa ya The Fellowship of Affirming Ministries, amezua mjadala mzito baada ya...
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Hayo...
Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi...
Na Mwandishi Wetu
Jumba la sanaa la Rangi Gallery la jijini Dar es Salaam limeandika historia baada ya kuwa taasisi ya kwanza kutoka Tanzania kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya sanaa ya...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetangaza kuandaa tamasha kubwa la jamii ya LGBTQ+ (mapenzi ya jinsia moja) linalofahamika kama "Pride Land," ambalo linatarajiwa kufanyika katika fukwe za...
SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE.
Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni).
Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati...
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan Aprili 23, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa...
Nilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani.
Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD.
Kumbe utajiri wake...
Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakuwa wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea...
Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Tarehe 21 Aprili, 2026, Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/4nzMi7ttDsM
Hapa ni Arusha mataa ya Sakina Triple A / Arusha technical, Ni zaidi ya miezi minne taa hazifanyi kazi. Tunaomba jiji lishughulikie hili tatizo.
Majibu ya Mamlaka ~ TANROADS: Taa za eneo la...
Wakati makombora ya jeshi la Marekani yalipochana anga la Iran mwishoni mwa Februari, watu wa Afrika labda walikuwa hawaujui kwa undani zaidi mlango bahari wa Hormuz. Hata hivyo, wamejua haraka...
Mbunge Boniphace Mwita Getere amehoji kuhusu ongezeko la tembo na uwezekano wa kuanzishwa kwa mpango wa uzazi wa mpango kwa wanyama hao. Amesema kuwa tembo huishi kwa muda mrefu, kati ya miaka 60...
Baada ya miaka 20 na panya 1,200, idadi ya panya waliokopiwa ( clone ) ilishuka kabisa.
Kwa miongo miwili, mwana sayansi wa kibiolojia Teruhiko Wakayama na timu yake katika Chuo cha Yamanashi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.