Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pale ambapo Mwizi anaiba bila kujua anayemuibia ni mbobezi kwenye sayansi ya uchawi au ulozi Basi bwana huyu wa huko nchini Uganda aliiba Subwoofa ya Mzee mmoja kwenye duka lakini katika hali ya...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Ofisi ya mkoa ya Wakala wa Barabara (Tanroads) imeamua kusimamisha ubomnoaji wa nyumba 1,200 zilizopo eneo la kati ya Ubungo na Kimara kwa kipindi cha kuelekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wana Jf,Nimekuwa nikifatiria kwa ukaribu masuala ya kisiasa yanayoendelea kwa sasa, na nimegundua jambo kubwa linalo sababisha kudumaa kwa ushindani kisiasa, vyama vya upinzani vinakilaumu CCM na...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Habarini za mchana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba mwongozo wa kupata mita namba ya luku kwa ajili ya kujaza umeme. Mimi ni mgeni kwenye suala hili la umeme kwani nimezoea vibatari...
0 Reactions
6 Replies
19K Views
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo. Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
25 Reactions
254 Replies
27K Views
Bbc swahili kwa bandiko lenu (waongo siwa kweli) nimesikitishwa na maelezo yenu juu ya illuminat jinsi gani uandishi wenu si wa kiutafiti .(kanjanja) Kusema kundi la illuminat Lipo au kuliongelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Polisi kanda maalum ya DSM imefanikiwa kukamata watuhumiwa watatu walijihusisha na unyanga'anyi kwa kutumia silaha na mauji kwa kutumia ak47. Kati ya watuhumiwa hao alikuamo raia kutoka nchini...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kupotea kwa maji yanayozalishwa kumeongeza tatizo la uhaba wa wa maji katika maeneo mengi nchini. Hali hiyo hulifanya jiji la Dar es Salaam kupata maji ya bomba kwa mgao katika maeneo yake ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vijana wengi waliotimiza miaka 21 mwaka huu (2017) hata kama amemaliza "form 6" wana:- 1.akili tegemezi. 2.Maadili mabovu--matusi muda wote,kuvaa kata k,Kusalimia ziro, kudharau wazee n.k...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi, hebu pitia dalili hizi uone jinsi ambavyo watu wengi ni walevi wa UMASKINI. Je umeona wangapi? katika familia, majirani, makazini, mashuleni, vyuoni kila kona. ungeambiwa ufanye...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Utajiri (kutoka neno la Kiarabu) ni wingi wa vitu vya thamani na wa vyanzo vya mapato ambavyo nchi au mtu anamiliki. Ingawa kimsingi ni suala la uchumi, unahusika sana na maadili, kwa kuwa mali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwaka ndio huo unakaribia kuishia zimebaki siku tu kufikia mwaka mwingine wa 2018. Kama mnavyojua wakuu kila mtu alikuwa na malengo yake kwa mwaka huu , Je ni kitu gani ulipanga kukifanya kwa...
0 Reactions
6 Replies
976 Views
IWE MAISHA LAINIKA BASI
0 Reactions
6 Replies
952 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kesi ya Dk Louis Shika hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba tatu za mfanyabiashara maarufu Said Lugumi alizoahidi kuzinunua...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wazalendo na wataalamu wa TBA ni kielelezo cha ubora wa mainjinia wetu wa ndani na uzalendo mkubwa walio nao Vibaraka wa mafisadi na mabeberu wali zoom picha wanazodai ni nyufa za Jpm hostels ili...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Takwimu za shirika la Afya Duniani (WHO) zinaeleza mwaka 1960 asilimia 34 ya wanadamu tuliishi mijini. Idadi imefikia 54% , kipindi tulichopo. Ongezeko limeleta kubanana banana na mabadiliko...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
MWAKA 1989 MPAKA MEI 1995, NILIKUWA MCHUNGAJI WA NG'OME HUKU NASOMA SUNGE SHULE YA MSINGI WILAYANI KAHAMA. Katika kipindi hiki Mimi Deogratius Kisandu Wazazi wangu walinitoa mjini kahama(mtaa...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa muda sasa kamanda mkusanya kodi PAMELA wa kitengo cha EFD amekuwa akihimiza utumiaji wa EFD kwa namna inayozidi mamlaka aliyopewa na sheria; anatukana wafanyabiashara na kuwababikizia ankara...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…