IWE MAISHA LAINIKA BASI
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 48,716 2,000 Dec 6, 2017 #2 Shati lako zuri, lipo kama neti bila shaka unapata kahewa safi eeeh?!
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 3,712 2,000 Dec 6, 2017 #3 Komaa kijana maisha ni kukomaa tu, huku tulipo kuna wazee wa "Expansion Joint" na vijana wanamaisha laini sana.
Komaa kijana maisha ni kukomaa tu, huku tulipo kuna wazee wa "Expansion Joint" na vijana wanamaisha laini sana.
mzeewangese JF-Expert Member Feb 11, 2016 631 500 Dec 6, 2017 #6 Unaongea na simu au unaongea na sie.
SODIUM CYANIDE JF-Expert Member Jun 5, 2013 671 1,000 Dec 6, 2017 #7 Maisha mazuri ni mikakati tekelezeki.