Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE), yameshuka kutoka Sh bilioni nne wiki iliyopita hadi Sh bilioni 3.7 wiki hii kutokana na kushuka kwa bei ya hisa za baadhi ya kampuni zilizoorodheshwa sokoni hapo.