Msaada sehemu nnapoweza kujifunza kutumia bunduki

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,937
Reaction score
8,358
Wakuu msaada tafadhari.

Nakaribia kuoa mtoto mkaree sana. Sasa nahitaji ulinzi binafsi. Kabla sijapata mguu wa kuku ningependa nipate mafunzo jinsi ya kuutumia.
Mimi bahati mbaya miaka yetu ule mpango wa kwenda jeshini haukuwepo.
sasa nauliza kwa dar kuna sehemu mtu unaweza jifunza kutumia bunduki mbali mbali zaidi ya depo!!?
 
Ulichoandika kinaonesha una akili kiasi gani, kwa hoja hizo pole sana bunduki/pistol utaiangalia kwa wenzio labda ukainunue kule Burundi uanze kukimbizana na vijana wa Sirro waichukue harakaharaka
 
Hata wewe neshajua akili yako ipo kiasi gani. Mimi nazungumzia kuhusu kujifunza wewe unazungumzia siwezi kumiliki!
 
Wakuu msaada tafadhari.

Nakaribia kuoa mtoto mkaree sana. Sasa nahitaji ulinzi binafsi. Kabla sijapata mguu wa kuku ningependa nipate mafunzo jinsi ya kuutumia.
Mimi bahati mbaya miaka yetu ule mpango wa kwenda jeshini haukuwepo.
sasa nauliza kwa dar kuna sehemu mtu unaweza jifunza kutumia bunduki mbali mbali zaidi ya depo!!?
Kajiunge mgambo utajua RSA SHOT GUN RPG na nyingine nyingi tu
 
Huwa kuna taratibu za kupata kibali kabla ya kumiliki silaa.

Watakufanyia usaili, wewe nenda jieleze hivyohivyo kama ulivyoandiaka hapa, watadhani unataka kwenda kujiua....watakwambia nenda tutakuita.
Nataka nijifunze kwanza kabla sijaimiliki.
 
Back
Top Bottom