Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Tangu jana mchana nimejaribu kwenda kwenye ATM za Bank ya Posta kutoa fedha kwenye ATM naambiwa BENKI YAKO HAIPATIKANI.
Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya aina hii au yanayofanana na haya kutoka Benki ya posta TPB.
Hata kuhamisha salio kutoka kwenye akaunti kuja kwenye mobile money na yenyewe imeshindikana.
Athari nilizopata na walizopata wengine ni kubwa mno.
Kwanini Benki hii inawaingiza hasara wateja wake kila kukicha? Mathalani mimi ninahitaji kusafiri kwa safari muhimu sana.
Benki hii inasikitisha sana hasa ukitazama wateja wa Bank zingine wanatoa pesa kwenye ATM zao bila shida.
Wamenikatisha tamaa sana hawa jamaa