Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimempeleka mke wangu hospitali moja ya wilaya ila nikashangaa baada ya daktari kumcheki cheki tatizo lake la jino na sikio na kuminya minya kooni na kumwambia akapima malaria ,uti,kiasi cha...
2 Reactions
87 Replies
8K Views
BABA YANGU HAKUWAHI KUTUPIA WATU KWENYE MACHUPA KIPINDI ANAPIGISHA DISCO KIWOSO BAR na LUXURY BAR-mtaa wa KILIMA,NYIHOGO, WILAYANI KAHAMA. Mzee wangu Nalimi Ismail Kisandu alikuwa ni DJ (Disco...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Miili ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliouawa na waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inarejeshwa nchini leo. Taarifa ya ofisi ya habari ya JWTZ...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
Hata Kama ukweli unauma lakini ni lazima usemwe tu. Ndo taifa lililoongoza duniani kwa kuua watu wenye ulemavu wa ngozi kwa imani za kishirikina eti ukipata mwili wa albino unatajirika wakati ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Wataalam wa wanyama pori wanasema kuwa mnyama aina ya Jaguar ambaye ni aina ya chui mweusi anayepatikana sana Amerika Kusini anauwezo wa kukimbia kasi ya ajabu sawa na Duma. Je, Hawa...
0 Reactions
41 Replies
32K Views
Wakuu ukiachilia mbali wazazi wako kijijini, hivi ulishawahi kuwafanyia watu wa kijijini kwenu kwa ujumla? Umewakumbukaje wewe binafsi? Mara zote kwenu halisi ni kule ulikozaliwa au kukulia wewe...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Habari WanaJamiiForums, Naomba uhusike na somo hapo juu, Nimepata hizi taarifa kwa rafiki yangu EDIMUND RUSHAMBYA mwenye namba ya simu 0757068739 baada ya kunieleza kuwa amepotelewa na mtoto wake...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Hospitali ya Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro imepata ‘ahueni’ katika changamoto ya ukosefu wa mashine za kupumulia wagonjwa, baada ya Chama cha Walimu (CWT) kuliona hilo ni tatizo kubwa na...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Miaka kadhaa iliyopita, mjomba wangu niliyekuwa nikiishi kwake, aliniahidi kulipa gharama zote za chuo, nilikuwa nashughulikia michakato ya kutafuta uwezesho wa kuendelea na masomo, lakini baada...
1 Reactions
6 Replies
894 Views
Wana jamvi amani kwenu. Ninayofuraha kuwataarifu safu mpya ya shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania kama ifuatavyo. Rais: Tumain Nyamhoka~TAGWU Makamu: Qambos M Sule~CWT K/Mkuu:Dr Yahya...
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Serengeti. Mwalimu Yaredi Amosi (27), wa Shule ya Msingi Kitarungu amepandishwa kizimbani leo Jumanne kwa kosa la kumshambulia kwa ngumi na kumsababishia majeraha mwalimu mkuu wa shue hiyo, Thomas...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarii za haumu ndani wanajamvi wenzanguuu Mimi niende mojakwa moja kwenye madaa ninataka niende swiden ,Norway au Denmark wanajamiii forum nimeona nije humu ndanii maana naweza kupata ushaurii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kiwango gani kweli kaya masikini ichangie kuinua uchumi wa viwanda? Kama kuinuka kwa uchumi wa viwanda unategemea kaya masikini, basi Tanzania ingekuwa na viwanda vya kumwaga. Ila swali la...
1 Reactions
5 Replies
988 Views
Moja wapo wa ushahidi ni huu hapa,
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi mtumishi anapoacha kazi au kuachishwa kazi bima ya afya inakoma kutumika baada ya muda gani? Na je kama kaachishwa kazi na ktk mzingira fulani i.e rufaa akarudi kazi anaweza kuendelea na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jambo wanaforum wenzangu leo naona tupeane akili kidogo kuhusu vitu gani hupaswi kufanya ukiwa kama mwanajamii na mgeni katika hio jamiii. Naaanza kwa kusema hupasi kufanya ukaribu wa kupitiliza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nikiwa barabarani tena barabara kuu nimeokea singida kwenda Dodoma nimepita Zebra nikiwa speed 45km/h nikajua nipo safe na ghafla askari kanipiga mkono. wameanza kufuatilia sheria ya kusimama...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana Jf, Nianze kwa kuwapongeza wachungaji, maaskofu na wengine wanojitahidi kueneza neno la Mungu. Baada ya pongezi hizi niende moja kwa moja katika mada. Ni kwa muda mrefu jamii imekuwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajanvi za mda huu? Nisiwachoshe, hivi wale watoto waliolawitiwa sasa hivi si wana umri mkubwa tu? Wana kuanzia miaka 20 na kuendelea maana kwa wale waliokuwa na miaka 6 sasa hivi watakuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Polisi wa usalama barabarani leo walizuia mabasi yanayoenda mikoani yapatayo kumi kutokana na ubovu wa magari hayo,nawashauri wasisahau kuyapitia budget ya mbeya,upendo,nganga maan a bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom