Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilishangaa sana juzi pale wale wasomeshaji walipolipuka kwa shangwe baada ya kupewa peremende. Lakini sawa hata watoto ukiwaletea peremende huwa wanashangilia sana. kazi njema wasomeshaji.
1 Reactions
1 Replies
790 Views
Habari wanajamii forum nimekuwa nikifatilia sana hizi tamthilia kama LEGEND OF THE SEEKER,MERLIN,na zingine zinazoendana na hizo lakini nimegundua hizi tanthilia za hawa jamaa zinatumia akili...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
MBINGA, RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya msingi Lukai iliyopo kijiji cha Amani Makolo amekutwa na ujauzito wa miezi minne aliosema aliupata baada ya kubakwa akiwa anatoka kanisani...
0 Reactions
137 Replies
13K Views
1:mkimaliza kuongea mniambie niendelee kufundisha 2:baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule 3:kama unajua kuliko Mimi njoo ufundishe wewe 4:ulikuja peke yako na utaondoka peke...
6 Reactions
61 Replies
7K Views
Wanajamvi leo mkusanya kodi amenidai kodi ya takataka kwenye kiofisi changu cha tigo pesa cha ajabu ofisi yangu haina takataka na wala sijawahi ona gari ya takataka ikipita...jamani au ni tapeli...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu nadhani kwa hali ilipofikia mtu pekee ambaye naona ataimudu wizara ya nishati ni Mh Makonda. Pamoja na mapungufu yake ila huyu bwana ni mbunifu na mpambanaji, nafikiri akipewa wizara ya...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Wakuu Fast jet ilikuwa inasemekana ndio kampuni bora zaidi ya ndege isiyokuwa ya kiserikali lakini kampuni hii wamekuwa wababaishaji sana sasa hivi wa huduma mbovu zisizokuwa za kueleweka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sina uhakika kama mashine ya kuoshea vyombo ipo! Lakini akitokea mtu akaibuni aina ya mashine yakuoshea vyombo vya nyumbani itatusaidia Sana ss mabachela na kutuondolea hii tabu tunayopata...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA. Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu. Leo hii Wazazi/walezi...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Kumekuwa na wimbi la watu kuwatumia walemavu kama mtaji kwa maslahi binafsi. Suala hili limekuwa po kwa muda ila naona kama wanateswa juani wameeba vikombe na vikapu vya kuombea chochote. Mbezi...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Mtwara. Abiria wanaosafiri katika msimu huu wa kuelekea sikukuu wametahadharishwa kutokula au kunywa vitu watakavyopatiwa ndani ya magari na watu wasiowafahamu. Pia wametakiwa kutoa taarifa kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mtu anashauri eti zile dola zilizokamatwa JKNIA kwa kuingizwa nchini bila kufuata utaratibu nazo zichomwe moto kama vifaranga vilivyoingizwa pia bila kufuata utaratibu.. ili kuonesha...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sanana IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica wawe...
0 Reactions
4 Replies
903 Views
Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo Gharama za ujenzi ni nafuu. Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia Nafikiri kustaafia...
20 Reactions
222 Replies
41K Views
Nimesikiliza kwa mshtuko na mshangao mkubwa habari kwamba baadhi ya wanasiasa wa Zanzibar hasa wajumbe wa Baraza La Wawakilishi wanataka upelekwe mswada katika Baraza hilo wa kuongeza muda wa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Pale ndipo penye makazi ya wafu, watu waliokuwa hai na kuishi juu ya ardhi sasa wameshuka na kupumzika pale ! Ile ni miili tupu lakini tusisahau kuwa roho zao hazichezi mbali hata kama zitaenda...
14 Reactions
196 Replies
39K Views
Miaka kadhaa iliyopita kila kukicha tulisikia akina Mgaya, Rwegasira, Olwochi, Mukoba nawengine wakiipiga biti serikali kutimiza madai ya wafanyakazi vinginevyo watagoma.... Hawakuishia hapo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndiyo nchi yangu, sehemu niwezayo kuiita nyumbani kwa amani... Sehemu ambayo kuna amani na mibaraka ya utulivu kutoka kwa muumbaji wetu( Mungu wa mbinguni). Tuitunze nchi yetu...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Kiukweli hii ndio dawa pekee ya kuondoa mgogoro uliopo Congo ya mashariki...! What i mean ni kwamba Congo yote ya mashariki iwe sehemu halali kabisa ya Tanzania na itambulike hivyo kisheria...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Napendekeza na kutanabaisha wenye mamlaka ya kusimamia jiji wachukuwe hatua haraka!! Wengi wetu,madereva na wenye kumiliki magari tupo hatarini sana.. haswa tunapokuwa ktk barabara na gari lako...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom