Migomo ya wafanyakazi serikalini imeishia wapi?

Migomo ya wafanyakazi serikalini imeishia wapi?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Miaka kadhaa iliyopita kila kukicha tulisikia akina Mgaya, Rwegasira, Olwochi, Mukoba nawengine wakiipiga biti serikali kutimiza madai ya wafanyakazi vinginevyo watagoma.... Hawakuishia hapo, walifikia mpaka kugoma siku kadhaa na baadhi ya madai yalifanyiwa kazi.
Sikuhizi sisikii kabisa hii njia ya mgomo, sijui tatizo ni TV yangu au nikweli wamenyamaza? Ukimya unamaanisha mambo ni shwari au una tafsiri gani?
Ni utani tu msichukulie serious sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
img-20171124-wa0006-jpg.637142
 
Sasa hivi kilio kimebaki kwa wafanyakazi wenyewe kwa wenyewe vyama husika havina msaada wowote kwa maana viongozi wake hawana meno tena.
 
Watumishi wa inchi hii ni majinga. Yalitishwa kidogo tu yanaufyata.

Kumbafu kabisa.
 
Hahahahaa...awamu hii haina mchezo ukijidai kugoma tu kesho nafasi yako ishapata mtu...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] had huruma mkuu
 
Ndo muelewe anaposema ananyoosha nchi, walizoea kutishia nyau kila mara jaribu awamu hii. JPM saafiiiii!
 
Awamu hii ukitaka kuokotwa umefungwa kwenye kiroba maiti ikielea beach jaribu kuorganize mgomo uone!
 
Wagome!! watanyooooooshwa to the maximum
 
Back
Top Bottom