Muda unavyoathiri mafanikio yako

Muda unavyoathiri mafanikio yako

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,442
Reaction score
8,695
Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sanana IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica wawe masikini zaidi ni kugawanya muda.

Waligawa vipi?
Masaa 24 wakagawa kwa 3
24/3=8
wakapata masaa 8.

Wakasema hivi.
Lala angalau masaa 8 kwa siku
Pumzika angalau masaa 8 kwa siku
Fanya kazi angalau masaa 8 kwa siku.


Sasa kama Una miaka 75 au ukafika miaka 75 maana yake ni kwamba.
UMELALA MIAKA 25
UMEPUNZIKA MIAKA 25
UMEFANYA KAZI MIAKA 25

Sasa chukulia kwamba
Shule ya msingi umesoma miaka 7
Secondary kidato cha 4 miaka 3
Kidato cha 6 miaka 2
Chuo kikuu miaka 3
Masters kama utaenda miaka 2
Jumla miaka 17 chukua 25 ya kazi toa 17 utapata miaka 8.

Hii ndo sababu ya wasomi kufa masikini ndo sababu ya Maprofesa pamoja na kustafu wanafanya kazi kwa mkataba. Haya masaa walitengenezewa watu wavivu hasa Africa. Wao hawayatumii kamwe nenda Japana nenda China.
Sasa kwa staili hii kuna tulio kuja Dunuani kulalal na kupumzika na kusoma then end of story


TEAM B-13
 
don't take this life way sooo serious..no one is going to get out of here alive
 
Back
Top Bottom