Tanzania ni nchi yangu

Tanzania ni nchi yangu

benaboy

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
42
Reaction score
32
Ndiyo nchi yangu, sehemu niwezayo kuiita nyumbani kwa amani...
Sehemu ambayo kuna amani na mibaraka ya utulivu kutoka kwa muumbaji wetu( Mungu wa mbinguni).

Tuitunze nchi yetu ,tupendane,tutokomeze vita na chuki.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom