Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakazi wa dar aaliwakera sana wageni wanaokuja huko kwa Kuwaita watu wa mikoani. Sahivi mambo yote ni Dodoma kwahiyo Dar ni mkoani kama mikoa mingine..... Sasa wanaume wa Dar watapumzika, kazi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakuu! kama mada inavyo onesha hapo juu naomba mwenye ujuzi anisaidie. Make kuna utata umempata mtu wangu wa karibu yeye yupo jirani na nyumba ya starehe sasa kati ya nyumba...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Mimi nimekuwa mara nyingi sikukuu za chrismas zinanikuta nimejiandaa nikiwa na fungu kidogo la kuburudika na ndugu na jamaa na hata kupata mialiko wakati mwingine ila sikukuu hii mpaka leo tare...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nimepangiwa kituo cha kazi huko TABORA-SIKONGE-MAKIBO Sasa naomba msaada kupafikia hapo mm nimetokea njombe KARIBUNI KWA MSAADA
0 Reactions
26 Replies
7K Views
mods naomba msiunganishe huu uzi! ni jambo serious jaman wadau labda sie wa mashirika tu ndo tumekaushiwa! mbona mpaka leo mshahara hakuna na vyuma vimeka.................. ( ukimalizia tu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wakuu! Naomba kujuzwa kwanini mtu akifariki huogopwa na wengi wao huogopa hata kuingia kwenye chumba alimo maiti nahitaji kujua ni jambo gani hupelekea mtu kuogopwa anapokuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamu nauli za ndege Dar-Kigoma
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoabomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio!
5 Reactions
139 Replies
16K Views
Thursday, December 21, 2017 Wafanyabiashara jijini walalama kukosa wateja Kwa ufupi Mmoja wa wafanyabiashara hao anayeuza nguo, Athumani Mhina alisema sikukuu ya mwaka huu iko tofauti na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Nimekuwa nikimfatilia sana the Bold na hivyo nikajikuta nikipenda kufuatilia intelijensia. Binafsi mimi ni msomaji wa vitabu lakini visivyo vya hadithi za kutungwa(non fiction)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wana Jf Kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata vyombo vya jikoni vya kisasa kama vile mashine za kukandia ngano za umeme, oven, blenders, mashine za kuchanganyia juisi za kisasa n.k na vyombo...
1 Reactions
8 Replies
10K Views
leo mmeamua kutuonyesha ubabe wenu watu mnatukalisha masaa 11 kusubiri kuvuka. jamani muwe mnakua active na serious. tarehe za muhimu. kwa kweli inasikitisha eti private car hamziruhusu mnaruhusu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya yalisemwa na Rais akimkumbusha Kamanda Sirro kwamba kafyeka majambazi, ila bado mikataba Polisi na rushwa zinatoa harufu pale, kwamba Polisi kuna mikataba kama ya kina Lugumi mingi tu, ya...
1 Reactions
2 Replies
926 Views
Habari zenu wakuu.. Hili ni jukwaa la great thinker wa masuala ya kisiasa.. Nimekuwa nikivutiwa na threads zinazosukwa na ma great thinkers wa jukwaa hili pendwa.. tangu mwaka uingie zimetumwa...
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Nimatumaini yangu kuwa amani imejaa hum jf Nina rafiki yangu yuko Guinea anahitaji kuja kunitembelea hapa nchini hivo inahitajika barua ya mwaliko (invitation letter) ili aweze kupata VISA na...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Basi lililokua na abiria 50 nchini India limeanguka katika daraja moja na kuwaua takriban watu 32 lilipoingia katika maji Kaskazini mwa India kwa mujibu wa polisi. Gari hilo ambalo lilikuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitaji laptop isizidi laki 2 iwe Intel na kurndekea ram inzie 2gb hdd 250gb na kuendelea chaji ikae japo saa 1 nk. 0754 60 45 67
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Huu mchanganuo wa kujenga nyumba ya milioni 20 nimeutoa humu JF kwenye comment ya mwaka 2011 ....je kwa mwaka 2017 kuingia 2018 kuna mabadiliko yoyote na ni yapi? Tusaidiane katika hili...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wana JF. Mimi ni mfikiliaji mzuri sana. Hua nafikilia sana pindi nibapopata jambo jipya la kufanya katika carreer yangu ya film and video production, sio hivyo tu hata katika maisha yangu...
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Habari wanajamvi! Naomba niseme ukweli wangu kuwa Mimi ni mmoja kati ya watazamaji wazuri wa vipindi vya ITV - Tanzania hususani Maigizo. Baada ya KAOLE kuacha kuonyesha vipindi vyao sikuwa na...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Back
Top Bottom