Nauli za ndege Dar-Kigoma

Nauli za ndege Dar-Kigoma

Mkuu bei za ndege hubadilika sio constant.Labda tukupe range yake,mi nakushauri ingia kwenye website zao ucheki
 
Mkuu kwa ndege pendwa air tanzania ni 400,000/= bila VAT kwa kipindi hiki cha sikukuu mpaka january mwisho...

Kwa kampuni ya kizalendo precision air nauli ni 320,000 - 360,000/= ila inaanzia january 12 kwenda juu napo hapo bila vat na kodi nyingine...

Kwa kifupi kufika kigoma kwa mwewe andaa 500,000/= kiuhakika kabsa...

Nakutakia sikukuu njema
 
Barikiwa sana ndugu
 
Back
Top Bottom