Jamani naomba msaada: Anaekufahamu Makibo-Sikonge-Tabora

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
127
Reaction score
82
Jamani nimepangiwa kituo cha kazi huko TABORA-SIKONGE-MAKIBO Sasa naomba msaada kupafikia hapo mm nimetokea njombe

KARIBUNI KWA MSAADA
 
Unataka msaada gani..??
Unataka nauli au...???
Unataka mwenyeji wa kukuelekeza..???
 
Msaada wa njia ya kupita
Kulivyo
Hali ya hewa
chanja chale kabisa za kinga,uchawi wa kupewa chakula hasa mahindi ya kuchemsha au maziwa..ukila umeliwa,mvua za radi ni kawaida,usijifanye mjuaji japo wanyamwezi si watu wa majungu,fika tabora mjini utapata njia ya sikonge
 
Unatoka Kunzombe?Poa.Fika hadi Mbeya, panda magari ya kuelekea Tabora via Chunya utafika Sikonge.
 
Jiandae kisaikolojia, maisha ya kuanza ajira huwa yana changamoto zake zipokee usiogope huo ndio mwanzo wa maisha yako hivyo

Uko unakoenda ni kijijini, mazingira, Mila na desturi ni tofauti na uko Ulipo njombe unaenda kwenye jamii ya wanayamwezi kaishi Kama ulivyowakuta heshimu mambo yao ili usikubali kupoteza msimamo wako kwa mambo yao

Kama Upo njombe njia rahisi nenda mpaka Mbeya mjini panda bus za kwenda Tabora, ukipanda hizo basi zitakupitisha sikonge moja kwa moja

Nenda kapige kazi uku ukiweka mipango yako sawa usiende kuleta Mbwebwe kazi umepata Jana ujafanya hata mwezi unataka kuhama nenda kakomae mda Ukifika utahama tu

Mawazo ya kuhama hama huaribu mipango ya maendeleo unajikuta una miaka miwili kazini hata godoro huna, pesa bank huna Upo Upo tu kisa unataka kuhama, kumbuka maisha harasubili mtu, u ukifikisha miaka minne zinaanza stress pale unapoona ulipoanza nao kazi wamekupiga gap la maendeleo na wana hama kituo cha kazi na mali zao wewe uliyekuwa unataka kuhama Upo Upo tu

Nakutakia kazi njema.
 
Asante kwa ushauriii. Ukitoka mbeya hadi tabora nauli yaweza kuwa kiasi gani ndugu?
 
Mbeya mpaka sikonge elfu 30 tu, unajua ufiki Tabora mjini ukitoka Mbeya kwaya njia ya chunya
Utatoka Mbeya utapita chunya, makongorosi, kitunda alafu ndio unafika sikonge, ukitoka sikonge ndio unaingia Tabora mjini

Ushauri wangu pita hiyo hiyo njia kuokoa gharama ukipita iringa, Dodoma, to Tabora gharama nyingi zisizo na sababu
 
Huko njia zimeharibiwa vibaya na mvua. Ni safari ya kuchosha. Panda basi la Njombe Dodoma. Pale utayawahi yanayotoka Dar. Utafika Tabora. Asubuhi utamalizia Sikonge.
 
Njia ya mbeya to sikonge no vumbi Mkuu?
 
Njia ya mbeya to sikonge no vumbi Mkuu?
Mbeya hadi chunya (Makongolosi)ni lami, kuanzia pale hadi sikonge- Tabora mjini hakuna lami. Usisahau kuchukua tiketi yako mapema pale stand ya mabasi mbeya kwakuwa bus linajaza sana abiria hivyo usipokuwa makini utasimama na safari ni ndefu sana( km takribani 490 mbeya - sikonge). Kipindi nasafiri bus ilikuwa ni sasabosa sijui kwa sasa ipoje.
 
Asante kwa Maelezo Mkuu, sasa nauli mbeya had sikonge ikoje
 
Vipi lakin kuhusu maisha ya tabora,hasa huko sikonge
Hali ya hewa
*uchumi
*kilimo
*aina ya watu wa na Tabia zao
 
Nilisha kaa sana huko ni pabaya hakuna lolote zaidi ya majungu sikushauli uende kama ni kazi ghairi
 
Back
Top Bottom