Bomoabomoa imenikuta

Pole... pole sana... Hakuna haki hapo!! wamebaki kusema eti "SHERIA"... Very Sad !!
 
Mwanzo walisema mita 60 lakini sasa hii zaidi ya mita 600 hawazingatii sheria ni kama wanafanya ushabiki na kukomoana
 
Nyumba zitakavunjwa tabata ni nyingi sana, mwanzo walisema mita 60 kutoka usawa wa mto msimbazi lakini hawazingatii hilo
Hakuna serikali chizi kiasi hicho sema kila muwamba ngoma huvutia kwake kama kweli unaushahidi siyo mita 60 umelalamika wapi wewe bomoa tu chanika yapo mapori kibao kiwanjwa laki mbili
 
Wala sio mada ya kubishana sababu hayajakukuta
 
Back
Top Bottom