Kwanini maiti huogopwa?

Kwanini maiti huogopwa?

Sadock Kabuko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
1,167
Reaction score
1,079
Amani iwe nanyi wakuu!
Naomba kujuzwa kwanini mtu akifariki huogopwa na wengi wao huogopa hata kuingia kwenye chumba alimo maiti nahitaji kujua ni jambo gani hupelekea mtu kuogopwa anapokuwa amefariki?
Nawasilisha
 
Dr. Remmy aliimbaga kuwa maiti haina rafiki. Mi naona ni kasumba tu kwani sioni madhara yeyote kukaa na maiti ama kushika na kuona maiti.
 
Tuanze na wew mwandish, wew unamuogopa au huogopi?
 
Siku zote hali isiyoeleweka huogopwa. Hali zinazoogopwa ni: giza, kifo,nk.
 
Kuna jitu moja lina kichwa kikubwa siku likifa itabidi tukivunje kdg ili kienee kwenye jeneza.
 
Hjyo ilikuwa zamani. Wakati huo vifo vilikuwa vichache sana. Kwa sasa watu hawaogopi maiti wala kifo.

We ujawahi kukuta ajali imeuwa watu kibao na damu zimetapakaa lakini watu wanazishika na kuzigeuza na wengine wanawasachi maiti?

Uoga ulikuwa zamani kwa sasa kifo kimezoeleka
 
Back
Top Bottom