Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haikuwa kitu cha kawaida kwa mkuu wa nchi kutaja jina la mfungwa, lakini ni mwendelezo wa maajabu yaliyowahi kumkuta Matonya katika maisha yake ya gerezani. Mara ya kwanza alifutiwa adhabu ya...
6 Reactions
41 Replies
10K Views
Ofisa Mfawidhi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) mkoa wa Kigoma, Amaniel Sekulu amesema miili sita ya watu waliozama katika ajali ya boti kugonga mtumbwi katika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Katika kila tarehe 25 ya mwezi Disemba ya kila mwaka, wakristu ulimwenguni kote huwa wanasheherekea sikukuu ya krismas. Ni moja ya sikukuu kubwa zaidi ulimwenguni kote. Pamoja na umaarufu wake...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania ina maajabu yake japo hayajaweza kuandikwa, pengine kama nchi hii ingekuwa bara la wazungu basi nchi hii ingeandikwa katika kitabu cha maajabu kwa baadhi ya Mambo. Sanjari na kuenea kwa...
2 Reactions
93 Replies
16K Views
Wanabodi, Kama ni kweli Ngwajima ana waumini wasiopungua elfu sabini na wanaenda kanisani mara mbili kwa wiki basi Ngwajima anaingiza zaidi ya bilioni tatu kwa mwaka (makadirio ya chini kabisa)...
6 Reactions
108 Replies
22K Views
Umemaliza chuo na mpaka sasa hujapata sehemu ya kujishikiza unaamua kutoka kwenu kijijini unaenda mjini. Huko mjini unafikia kwa mshikaji wako au ndugu yako aliefanikiwa kiasi. ..amepanga anaishi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwaka 2005 ndio sarakasi za TTCL zinapochanua.Chanzo cha Tatizo inaonekana ni wajumbe wa Bodi watano kati ya wajumbe wote 9. Embu tukumbushane wenye kumbukumbu wajumbe hao wa Bodi 9 kwa majina...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi, Dkt Ally Mohammed Shein amewapa zawadi ya Shilingi milioni tatu, na kiwanja kimoja kwa kila mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kheri ya kristmas Na mwaka mpya! Wapendwa Mimi naomba tupeane taarifa Na kuelimishana kuhusu maswali Haya: 1.je wajua chama chetu CDM kinapata ruzuku shs ngapi kwa mwezi? 2.je wajua tunalipia...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Moja ya sababu zangu kufuatilia masuala ya elimu ni imani kwamba tukiboronga kwenye elimu tunaathiri watu wengi na vizazi vingi sana. Mtakumbuka serikali yetu kupitia wizara husika imepiga...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Habari za wanajamvi? Mwaka 2017 ndiyo huo unaelekea mwisho. Kama ilivyo kwa miaka mingine,mwaka huu umekuwa na matukio mbalimbali ya kuvutia,kufikirisha na hata nyakati ngumu pia. Hii ni katika...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarini wadau,km heading inavyojieleza hapo juu nina jamaa yangu mmoja ameoa mahala fulani na binti aliyemuoa ana dada ake ambae amezaa mtoto mtoto. Kawaida kwa kwetu tz km ukioa na mkeo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
BOT wametamka kwamba hawatasimamia wala kuingilia swala la RIBA inayotozwa na mabenki watakapokupa mikopo, kwa maana hiyo hawatazilazimisha benki kupunguza au kuongeza RIBA! BOT wanadai soko...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Ndege kubwa zaidi duniani ambayo inaweza kutua na kupaa kutoka kwenye maji imefanya safari yake ya kwanza kwa saa moja. Ukubwa wa Ndege hiyo ya China AG600 unaweza kukaribiana na Boeng 747 na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Nina isii sana serekali kufanya uchunguzi wa vifo vya wanawake wanaojifungua hospitali ya Bagamoyo. Kwa mwaka huu tu wanawake waliopoteza uhai ninao wajua ni zaidi ya watano. Ndani ya mwezi...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Wakuu ninaleta kero hii hapa barazani.. barabara ya kwenda kiwanda cha magari ya Jeshi Nyumbu na makao makuu ya landforce command Msangani.! ina mashimo mashimo mengi na kila msimu wa Mvua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chache baada ya Rais John Magufuli kubainisha kukamatwa kwa kiasi kikubwa cha fedha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) aliyekamatwa na fedha hizo amefikishwa katika...
1 Reactions
178 Replies
18K Views
Za leo ndugu zangu. Ichi kipindi kilitakiwa kiwe cha miaka 70 au 60 ndio watoto ulikua unaweza kuwaongopea maana hakieleweki ata mtoto akiangalia nabaki naulizwa maswali nashindwa kujibu. Zama za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani nyie wamama itikieni salamu inavyostahili. Ni hivi hapa ofisini kuna staff wamama baadhi sio wote ukiwasalimia shikamoo badala ya kuitikia marahaba unakuta anaitika nzuri /salama as if...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiifuatilia star TV vipindi vya mijadala ya asubuhi, kwa ujumla mijadala wanayoweka ni mizuri lakini tatizo liko kwenye utoaji nafasi kwa wazungumzaji, akiwepo mzungumzaji ambaye mlengo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom