Ni thread gani ilikufikirisha sana kwa mwaka 2017?

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
709
1,558
Habari zenu wakuu.. Hili ni jukwaa la great thinker wa masuala ya kisiasa.. Nimekuwa nikivutiwa na threads zinazosukwa na ma great thinkers wa jukwaa hili pendwa.. tangu mwaka uingie zimetumwa threads mamia kwa maelfu.. Sasa kama heading inavyosema hapo juu ni thread gani ilikufikirisha sana kwa mwaka 2017?
 
Hii ya kwako Kwa kuwa nimejaribu kufikiri thread iliyonifikirisha Hadi fikra zimeshindwa kufikiri.
 
Back
Top Bottom