Dar imeungana na mikoa mingine kuitwa "mkoani"

Dar imeungana na mikoa mingine kuitwa "mkoani"

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Wakazi wa dar aaliwakera sana wageni wanaokuja huko kwa Kuwaita watu wa mikoani.
Sahivi mambo yote ni Dodoma kwahiyo Dar ni mkoani kama mikoa mingine.....
Sasa wanaume wa Dar watapumzika, kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
 
Mimi huku Arusha nilikuwa najua Dar ni Mkoani pia.
 
Dar itabaki kuwa Dar kumbuka ni culture ya Pwani dio inakiki kama kg1 kuliwa ba watu sita,kushindia juice ya ukwaju au miwa
 
Hahahaaa... Bado bhana mjomba mbona bado hajahama....
 
Dar ni mkoan sema tofaut na mkioa mingine sababu zifuatazo

JAMAN wao husema JOMONII
Wanaume wanavaa nguo za kubana kama za wanawake
Wanaume huvaa helen

Wanaume wa dar wakimuona mgen humpokea kwa kusema waooooo waooooo

Kwa kifupi akili zao wanazijua wenyewe ni washenz sana
 
Dar itabaki kuwa Dar kwa miaka mingi ijayo. Na Dodoma KAMWE haitaweza kufanananishwa na Dar.

Wakazi wa dar aaliwakera sana wageni wanaokuja huko kwa Kuwaita watu wa mikoani.
Sahivi mambo yote ni Dodoma kwahiyo Dar ni mkoani kama mikoa mingine.....
Sasa wanaume wa Dar watapumzika, kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
 
Mikoa mingine imeazimwa Beaches na joto kisha nayo imefanana na Dar my City [emoji561]
 
Wakazi wa dar aaliwakera sana wageni wanaokuja huko kwa Kuwaita watu wa mikoani.
Sahivi mambo yote ni Dodoma kwahiyo Dar ni mkoani kama mikoa mingine.....
Sasa wanaume wa Dar watapumzika, kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
Nb: wawe makini wasifie vifuani wasije haribu sera ya"hapa kazi tu"
 
Dar ni mkoa wenye bandari na una historia ndefu kabla na baada ya ukoloni huwezi kufananishwa na mkoa mwingine. Ni sawa Pretoria na Jo burg South Africa.
 
Back
Top Bottom