Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Habar wana Jf
Kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata vyombo vya jikoni vya kisasa kama vile mashine za kukandia ngano za umeme, oven, blenders, mashine za kuchanganyia juisi za kisasa n.k na vyombo vingine vya kisasa
Ni vzur ukataja na mtaa wa hyo sehemu ili iwe rahisi kufika
Naomba kuwasilisha
Ni mimi yuleyule Messi wa kibongo