Habari wanajamvi!
Naomba niseme ukweli wangu kuwa Mimi ni mmoja kati ya watazamaji wazuri wa vipindi vya ITV - Tanzania hususani Maigizo.
Baada ya KAOLE kuacha kuonyesha vipindi vyao sikuwa na...
Nina gari aina ya Starlet ya 1999
Lipo kwenye hali nzuri AC kila kitu je UBA wanaweza kunikubalia kulisajili? maana kuna jamaa hapa kaniambia wanasajili kuanzia magari ya mwaka 2000.
Naomba kujua...
Nimebahatika kutembelea baadhi ya maduka ya jumla na rejareja maeneo ya mtongani na yaliyopo barabara ya kuanzia kona ya kunduchi kuelekea ununio na kuona maajabu!
Unanunua bidhaa za zaidi ya...
Baada ya Krisimasi naomba tufanye soga zisizokuwa na hapa wala pale.
Najua Mh. Raisi atakuwa amesisitiza kuwa samani mpya za ikulu zinunuliwe hapa hapa Tanzania lakini basi wabongo tujitahidi...
Mambo vp, mnajua kuwa hii michezo ya kamali ukitoa za mpira wa miguu ni feki balaa... Nasema feki kwasababu moja kuu kwamba hii michezo mshindi anachaguliwa ofisini yani wanaamua leo tumpe flani...
Mtangazaji wa E FM Maulid Kitenge na mwenzake Gerald Hando wamesema ni kweli hali ni mbaya kwa kuwa hata watu wanaofanya nao kazi za matangazo ikiwemo ma benki wanasema hali ni mbaya na wala hiyo...
Tangu nianze kutembelea hii mikoa katika maeneo mbalimbali kama Inyonga,Majimoto,sumbawanga,mpimbwe na hapa katavi mjini nimekutana na watu wenye magonjwa ya kushangaza sana.Nilikutana na mama...
TCRA waangalieni hawa watu, wanatusumbua sana na mameseji yao nmefuta had nmechoka, ikitoka hyo inakuja ya BIKO, mara SPORTPESA
waambieni sio kila mtu anabeti waache usumbufu
Nawahi kusoma...
Wasalaam wakuu,
Leo ningependa tujifunze kitu juu ya hili suala la nidhamu ya fedha na ninatumai mtapata mawili matatu ya kujifunza na hata kubadilika.
Kuna watu umeanza nao kazi, au hata...
habari ndugu katika jamiiforums !
MIMI si MWANAJESHI wala mtu wa usalama wetu ila nimezipata google tu !
kwanza kabisa nikushukuru kwa kutumia muda wako kupitia uzi huu,zifuatazo ni herufi 26 na...
Wakati fulani nilifuatwa na rafiki yangu mmoja aliehitaji nimpe habari kuhusu hii tigo bima na ufanyaji kazi wake,sikuwa muongo kwake nilimweleza sijui kuihusu hii kitu,akaondoka zake
Hivi...
Moja ya hoja zilizotolewa na kamati zilizochunguza makontena ya mchanga ni'' Uwepo wa Mikataba mibovu. '' swali linalonisumbua mimi ni:
Sheria zetu zimepitishwa na nani?
Je hawa watanzania...
Mfumo wa Hospital Info inarahisisha upatikanaji wa taarifa kuhusu hospitali na vituo vya afya (huduma zinazotoa,kadi za afya zinazokubaliwa kwenye hospitali husika,muda wa kazi,umiliki wa...
Hivi kwa Nini Kenya hawasemi Kenya ya Viwanda lakini wanajenga Viwanda kuliko Tanzania
Pili Kenya ina viwanda vingi na inazalisha bidhaa bora kabisa na bei nafuu....Maduka ya mitaani na hata...
Kwenu Clouds,
Naona mmenogowa na pesa za CCM lakini kuweni makini zitawaponza muda sio mrefu.
Kwa sasa ni wananchi wachache wanaoipenda CCM, hilo linajulikana. Sasa muda sio mrefu mtaanza...
Msemaji Mkuu wa Serikali amezungumzia juu ya muswada mpya wa kuunganisha mifuko ya pensheni na kutoa wito kwa watu kuusoma na kuuelewa badala ya kile alichodai...'Kukaririshwa na wasiojua hata...
Dear JF Members
Following this special holiday season for Christmas and new year, I extend my best wishes to all of you. Have a MERRY CHRISTMAS & HAPPY NEW YEAR
Be safe, sound and strong...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), unatarajia kuongeza mabasi katika mfumo wake kutoka 140 yaliyopo sasa hadi 305 pindi awamu ya kwanza ya mfumo huo itakapokamilika Juni 2018.
Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.