Kigongo fery Busisi

Sahani20

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
1,519
740
leo mmeamua kutuonyesha ubabe wenu watu mnatukalisha masaa 11 kusubiri kuvuka. jamani muwe mnakua active na serious. tarehe za muhimu. kwa kweli inasikitisha eti private car hamziruhusu mnaruhusu tu za abiria wakati hata mwenye gari ndogo nae ni msafiri. jamani tunaomba msitufanyie tena hivo maana tunalipa kodi. mtuandalie mazingira mazuri ya kuishi. kama vyuma vimekaza mpaka huko pia mseme. asanteni
 
Kile kivuko kina shiida mno emergency boat zpo ila hali yake ni Choka mbaya vtu vngne ...ngja tukae kimya

be humble
 
Kwani kamanga haipo?
kule kwa gari ndogo aisee inafika ila inachoka sana. ina rasta nyingi njia ni mbaya sana. na sijui kwann hawataki kuikarabati ilhali huku hawajajipanga kuhudumia namba kubwa kiasi hiki
 
kule kwa gari ndogo aisee inafika ila inachoka sana. ina rasta nyingi njia ni mbaya sana. na sijui kwann hawataki kuikarabati ilhali huku hawajajipanga kuhudumia namba kubwa kiasi hiki
Huenda kama itarekebishwa ile ya busisi itakosa soko
 
Back
Top Bottom