Nafikilia kufanya vitu vingi.

Nafikilia kufanya vitu vingi.

directa

Senior Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
102
Reaction score
150
Habari wana JF.

Mimi ni mfikiliaji mzuri sana. Hua nafikilia sana pindi nibapopata jambo jipya la kufanya katika carreer yangu ya film and video production, sio hivyo tu hata katika maisha yangu ya kawaida katika jamii inayonizunguka.

Na watu wananitegemea sana katika hilo. Its my streangth.

Kufikilia sana ni streangth yangu, lakini sasa naona kama inakua weakness.

Napata mawazo mengi, yote mazuri lakini hua naishia kuyawaza tu naakati yapo ndani ya uwezo wangu kuyatekeleza.

Najua hili tatizo sinalo pekeyangu. kwanini tunafikilia vitu vingi kwa wakati mmoja na kuanza kuangaika lipi ufanye lipi usifanye, (ukiwa huna uwezo wakufanya yote)?

Labda swali ni namna ya kujua kipi ufanye au kipi isifanye.
 
Habari
Mkuu "Directa"
Wewe binafsi ulitaka ushauriwe kuhusu nni..?

Similar Discussions

Back
Top Bottom