Maeneo mengi kama kwenye taasisi za kawaida kama familia, makanisa, na makundi ya kijamii, kumekuwa na tabia ya kupuuza muda katika uendeshaji wa vikao. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba mara nyingi...
Kuna wakati huwa nawaza, hivi inakuwaje demand ipo ya kutosha lakini bado tunaagiza bidhaa nje. Mfano demand ya sukari ipo kubwa, ardhi kwa ajili ya mashamba ya miwa ipo unlimited na watu wenye...
Nimekuwa nikisikia maneno baadhi ya majirani wakinishuku nina roho mbaya napowanyima lifti watoto wao wa kike wa sekondari, nipo mtaa ambao watu wengi waliojenga wapo kwenye mid 40s na vipato vya...
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Tulieni iliyopo Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amesema shule hiyo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa madawati ambapo mpaka sasa...
UJUMBE KUTOKA KWA MDAU:
Nina mdogo wangu amepotea tangu Aprili 22, 2026, alipewa barua shuleni ya kumleta mzazi na baada ya kuondoka shule hakufika nyumbani wala hakurudi shuleni mpaka sasa...
Habari wanaJF .
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu . katika kile kinachoendelea hasa huko south , ukweli ni kwamba lazima mkubali nyie ni wakimbizi , kuujua ukweli ni kupona: kwa nn ulazimishe...
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi...
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha
Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali...
Watanzania bwana maneno mengi lakini lugha ya kiingereza ni mtihani mkubwa sana kwenu ! Kwa taarifa yako Ukishasema ana 𝗱𝗼𝗰𝘁𝗼𝗿𝗮𝘁𝗲 basi maana yake tayari anayo elimu ya juu kabisa ya kiwango...
Usikate tamaa, usichanganyikiwe, usipoteze tumaini ni mapito yatapita na utakuwa imara zaidi. Mungu kamwe hawezi kufunga milango yote hata siku moja. Wanasema in the darkest moment there is always...
Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee?
Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi...
7 MISTAKES TO AVOID WHEN GOD STARTS BLESSING YOU
👇👇👇👇👇👇👇
When God begins to bless a person, the real test is not poverty anymore…
the real test becomes how you handle abundance.
Many people...
Sign God annointed you to impact masses(nation/world)
In every family or generation God selected one individual or choosen for cut off generation pattern or curse(trauma).
Many family or...
Ilianza Stendi ya Dodoma na Sasa ni Soko la Ndugai limegeuka kuwa makazi ya popo baada ya wafanyabiashara kulitelekeza Kwa sababu hakuna biashara eneo lilopojengwa.
Nawakumbisha tuu huu...
DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma.
Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi.
Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa...
Hivi karibuni, "Ushuru Sifuri wa China" imekuwa mada muhimu kwenye vyombo vya habari nchini Kenya. Watu mbalimbali, kuanzia Makamu wa Rais hadi wafanyabiashara, wanaipokea sera hiyo...
Kabila la wasukuma humuita pambe nimependa kutumia pande kama kichwa cha uzi kinavojieleza
Nyoka huyu hana nouma kabisa hua anaaibu sana mara nyingi wasukuma humtumia kwenye michezo yao ngoma za...
Wakati ukarabati wa Dimba la Benjamin Mkapa ukiendelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya AFCON 2027, baadhi ya mafundi wanaofanya kazi hiyo wamefukua vitu vya ajabu vinavyodhaniwa...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amependekeza kuwepo na kambi ya upinzani licha ya kuonekana kuna wabunge wa chache wa vyama vya upinzani akidai kukosa kambi ya upinzani bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.