1. Jamaa ni bodaboda alimzalisha mwanamke mtoto wa kiume nae wakamuita ALEX
2. Hawakuoana hivyo mwanamke alijifungua akiwa nyumbani kwao.
3. Baada ya kujifungua mwanamke ameishi na mtoto kwa...
Ni maajabu karne hii ya uwazi, karne ya ChatGPt, AI, Copilot..nk unataka kudanganya umma wa watu milioni 70 na ulimwengu mzima kwa Propaganda fake.
Lengo la yote hayo ni kuwasafisha makatili...
Kwa sisi wageni tunaoishi China, linapokuja suala la unywaji wa kahawa, mara nyingi tunajiuliza: Wachina walifanyaje hadi kahawa ikawa kinywaji kinachopendwa katika nchi ambayo kwa maelfu ya miaka...
Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii...
China kwa sasa inageuza soko lake kuwa chachu ya ushirikiano, hali ambayo inaonekana ni tofauti kabisa na nchi za magharibi ambazo zinatoa mapendekezo yanayoambatana na masharti kemkem.
Nchi za...
Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae 👋.
Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye...
Wakuu heshima kwenu,
Leo tangu kumekucha nimekaa nikiwatafakari dawasa na hao wizara ya maji Kwa ujumla, tangu udogo wangu sijawahi ona Dar ikikosa maji hasa kipindi hichi cha mvua lakini mwaka...
Katika maisha Kuna mengi tunayokutana nayo,mengine tunayashinda na Kuna yanayotushinda.
Kwa hiyo Kuna mengi ya kumshukuru Mungu katika haya.
Nahitaji miaka mingi zaidi Ili niendelee kupata uzoefu...
Shehena ya kemikali hatarishi aina ya salfa imemwagika katika barabara kuu ya Morogoro-Iringa, karibu na eneo la Mindu Mikoroshini, baada ya lori lililokuwa likiisafirisha kupata ajali.
Kwa...
Habari wana jukwaa.
Wengi kwa sasa tumekutana na either post or habari kuhusiana na ajari. Kwenye mitandao ya kijamii (insta,facebook n.k just to mention few) tunapoteza wapendwa na nduzu zetu...
Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara imetoa ufafanuzi kuhusu malalamiko yaliyojitokeza kwenye mitandao ya kijamii kuhusu deni la mkandarasi, Frank Mwakajumba zaidi ya shilingi mil 30...
Ndugu wana jukwaa, tarehe 25 June 2024. mishahara ya wafanyakazi wa serikali ilitoka. Hata hivyo hakuna nyongeza yeyote, hata ile annual increment. Cha kushangaza, vyama vya wafanyakazi viko kimya...
Mjumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mkuu mstaafu Prof. Ibrahim Juma amesema kuwa wamepokea simu zaidi ya 300 zenye...
Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo
Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮
1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu...
Habari wapambanaji wenzangu,
Natumai mko salama.
Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na...
Hivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
Katika juhudi ya kukuza viwanda vya ndani vya magari, serikali ya nchini Ghana imeipa likizo ya kodi ya miaka 10 kampuni ya kutengeneza magari ya mtume Osafo Kantanka ijulikanayo kama KANTANKA...
Maeneo mengi kama kwenye taasisi za kawaida kama familia, makanisa, na makundi ya kijamii, kumekuwa na tabia ya kupuuza muda katika uendeshaji wa vikao. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.