Ado Shaibu aomba Kambi ya upinzani bungeni

Ado Shaibu aomba Kambi ya upinzani bungeni

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,926
Reaction score
6,575
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amependekeza kuwepo na kambi ya upinzani licha ya kuonekana kuna wabunge wa chache wa vyama vya upinzani akidai kukosa kambi ya upinzani bungeni kuna vitu vingi wanavikosa na kujikuta wanalazimika kufanya wenyewe

Ado ameyasema hayo leo wakati akihojiwa na Wasafi Fm kupitia kipindi cha Jana na Leo

Soma Pia: Ado Shaibu: Bungeni kugumu sana, kwa sababu ya kuwa na idadi ndogo sana ya wabunge wa upinzani

 
Bora pasiwepo upinzani bungeni, utakuwa ni upinzani wa kijinga kuwahi kutokea bungeni. Hautakuwa upinzani wa kweli, utakuwa ni upinzani wa kula bata tu
 
Si alifurahia iyo offer ya ubunge aoambane na hali yake.
 
Ado ana shida, upinzani wenyewe ni batili vile vile maana uchaguzi ulikuwa batili. Anajifanya tu lakini ni ccm B
 
Back
Top Bottom