Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya...
Habari
Mimi ni mdau wa JamiiForums, nina hoja kuhusu suala la elimu
Kwa wanafunzi wanaosoma shule za serikali Tanzania kwanini wizara ya elimu inawaruhusu wanafunzi vipindi vya masomo wanaenda...
Tanzania and Sweden are taking another major step forward in their partnership with the signing of SGR Lots 3 and 4 in Dodoma.
With financing of around USD 1.32 billion, this milestone reflects a...
Watanganyika wenzangu mnataka kusema hapa tuna nchi kweli? taifa ambalo kuanzia asubuhi mpaka kesho yake vyombo vya habari ni kuchambua mpira, umbeya, Visingeli na uchawa humo humo.
Taifa ambalo...
Mambo yanayoendelea kwenye taifa hili yanamchosha na kumchuliza kila mtu mwenye akili mtu utakayemuona anayafurahia basi huyu n mpumbavu wa kiwango cha flyover
Kuna tabia imezoeleka kwenye...
Jengo la Sophia House lililopo eneo la Bakhresa (Tazara) linavujisha maji ya chooni kwa upande wa nyuma, na maji hayo yananuka na yanaweza kusababisha magonjwa sababu yanaingia moja kwa moja...
Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI...
Maisha ni very simple watu ni vile tu Hawajui skia nikupe mbinu ukiitumia basi una 70% ya kufaulu.. tuseme una mpango wa kuomba kazi international organization fulani labda mwakani basi safari...
Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio 🫢.
Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako...
Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki, Ili...
Hii mambo mara wizara itoe tamko mara waziri doroty gwajima abaki kulalamika mitandaoni na kutoa kauli kila siku naona kama ni njia isiyo na nguvu. Kwa mfano Rais tu mwenyewe akaitisha vyombo...
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Balozi Waziri Salum amesema anakusudia kubadilisha matumizi ya eneo la kiwanda cha tairi cha General Tyre kilichopo Mkoani Arusha kutokana na kiwanda...
Uaminifu ni tabia njema ya kuwa mkweli inayomfanya mtu akubalike na wengine hata kumpa dhamana ya kitu fulani.
Ni chombo pekee kinachofaa ndani ya mahusiano mbalimbali, kama biashara, mke na...
Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao...
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu...
Makabila ya Mara ni mengi kuliko mikoa yote ya Tanzania, kama vile Waluo, Wajita, Waruri, Wazanaki, Wakuria, Wakabwa, Wakiroba, Wasimbiti, Wangoreme, Wakwaya, Waikoma, Wanata, Waisenye, Waikizu...
Kariakoo ni kitovu cha biashara na panaingiza fedha nyingi sana lakini ni eneo ambalo ni limesahaulika na watu wa manispaa au serikali za mitaa wanachojua ni kukusanya service levy tu.
Mfano...
Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja...
Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.