Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ndugu, Kheri ya Mwaka mpya, Nilikuwa na ndugu zangu hapa tunarukaruka na kusherekea kuhusu mwaka huu mpya, ila ghafla nikajiwa na wazo kichwani ambalo kiuhalisia limeanza kuniumiza. Je Mtu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu, Habari za majukumu mbali mbali. Kama unamfahamu huyu jamaa njoo inbox kuna ujumbe wake wa muhimu ili uweze kumfikishia. Kuna mahali amesahau kitambulisho chake cha Uraia wa Tanzania Bara...
0 Reactions
3 Replies
876 Views
BAADHI ya majirani na polisi wa Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar, wameibuka na kudai kuwa kutokana mtaro uliopo kituoni hapo kufumuka na kutoa maji machafu ya chooni yakiambatana na...
0 Reactions
3 Replies
763 Views
Nmejitathmini maisha yangu na jinsi nilivyo busy kutafuta ugali nimegundua dhambi niliyonayo ni 1 tu ya uzinifu ila zingine sina kabisa. Nashauri na nyie wakuu mjitathmini, kuna uwezekano...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
KAMANDA WA POLISI MKOA WA GEITA, MPONJOLI LOTSON. MJANE mkazi wa kijiji cha Kamhanga, wilaya na mkoa wa Geita amefariki dunia baada ya kukatwakatwa na panga kichwani na mwanaye usiku na kisha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu amewahi kuwa mbuge wa Tarime kabla haijagawanywa na kuwa Tarime na Rorya. Kwa sasa simsikii kabisa sijui yuko wapi. Je, ni mzima ama alisha dead?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwenye taarifa za habari za ITV za saa mbili usiku, Jumatatu (22/01/2018) kulikuwa na habari za kugundulika kiwanda cha nyavu HARAMU za UVUVI huko Arusha. Kwanza nitoe pongezi kwa mafanikio ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Why do people distrust atheists? A recent study we conducted, led by psychologist Will Gervais, found widespread and extreme moral prejudice against atheists around the world. Across all...
0 Reactions
5 Replies
903 Views
  • Poll Poll
Katika siku zijazo kuanzia sasa hadi tarehe 7 Februari Mwezi utakuwa jirani na Sayari tanzo tunazoweza kuziona kwa macho moja kwa moja. (Angalia picha ya anga ya alfajiri iliyoambtishwa) - Mwezi...
8 Reactions
42 Replies
12K Views
Hatari kama tangu umezaliwa hujawahi kujifanyia tathmini wewe mwenyewe kusubiri mpaka watu waone mapungufu yako wakwambie ndio ubadirike huu ni uvivu wa kufikiri kiwango cha lami.We ukiamka ni...
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Kama Rais wetu pamoja na Serikali yake wakifanikisha kutuingizia zaidi ya 2000 MW za Umeme kwenye Gridi yetu ya Taifa, basi kama wakipenda na kukubali kuendelea kuongoza baada ya 2025 na iwe...
9 Reactions
78 Replies
6K Views
Wakuu natumai mko salama. katika Tafakuri yangu nimekuwa najaribu kupita kwenye kumbukumbu zangu na matukio ya Nchi hii na watu wake. nikarudi mpaka miaka ya 1980. Kulikuwa na shirika la chakula...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
UKOSEFU WA DARAJA CHANIKA - MGEULE. Imani yangu ni Kwamba kero hizi tunazoziweka humu hupata ufumbuzi wake ili kuwatoa watch Kwenye adha hizi. Ukifika CHANIKA Buyuni kuna Mtaa unaitwa Mgeule...
1 Reactions
0 Replies
759 Views
Mpaka hivi sasa imepita miaka ………tangu nchi yetu ilipoanzisha rasmi vita dhidi ya ukimwi na hivyo kuanzishwa kwa taasisi maalum inayoendelea navita hiyo Kupitia mikakati na program mbalimbali hii...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Serikali ya Israel na Tanzania zimesaini mkataba wa makubaliano wa mwaka mmoja wa ujenzi wa kitengo cha matibabu ya dharura pamoja na tiba ya magonjwa ya mifupa katika hospitali ya Benjamini Mkaba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu, kumekuwepo zuio la kujitoa kwenye mifuko ya jamii maarufu kama 'fao la kujitoa'. Sababu zimekuwa kwamba, ni utekelezaji wa sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii na ile ya SSRA...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Imezoeleka ikifika December 23 kila mwaka mishahara (hasa kwa watumishi wa umma) huwa imeshatoka ili watu wafurahi katika Bwana. Christmass ya mwaka huu ni siku ya jumatatu. Jumapili na jumamosi...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Habarini hapa JF, Kuna story nyingi sana zinaendelea juu ya madereva wa UBER, wanasema eti wanavuna hela nyingi sana! Sasa naomb akujuzwa hivi ni kweli madereva wa uber wanavuna mamilioni au ni...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wanabodi... Kampuni ya startimes kupitia ving'amuzi vyake sasa inafanya wizi wa waziwazi kwa wateja wake; 1. Channel zinazitakiwa kuonekana bure (local channels) hazionyeshi, na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa kilichomtokea jamaa yangu nimeona vyema tushare msijemkalizwa. Ndugu yangu amekuwa akitumia vibanda vya njiani kuingizia pesa zaake CRDB mwaka wa tano kutokana na ukaribu amekuwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…