Joyce Kiria afunguka
Hiyo inaitwa Vunja Ukimya, Elimika,
Uaminifu wa Kiongozi yeyote na dhamira yake ya kubeba Dhamana ya Matumaini ya Wananchi Ni Lazima Ianzie nyumbani kwake.
Kama...
Ukiangalia Wanawake waliosoma kwenye hii shule utagundua wote wana dhana ya Uongozi. imetoa wake bora,wachapakazi na viongozi wazuri, si ajabu tukapata Rais wa Kwanza Mwanamke aliyesoma hapo...
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikisoma na kuona matukio mbalimbali anayoyafanya huyu
dada. Amekuwa na msimamo mbaya sana juu ya serikali na pia chama cha mapinduzi. Na
amekuwa akiwa akiwachukia...
LINKS
▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶▶
Post ya mpekuzihuru.com:
www.mpekuzihuru.com/2018/01/joyce-kiria-amwaga-siri-za-mumewe.html
post ya Joyce Kiria:
Self-Made | Entrepreneur...
Wakuu kama kichwa kilivyojieleza hapo juu.Nilikua naomba kuuliza hivi Youtuber wanalipwaje??. Kuanzia kwenye viewers pamoja na ad
Akhsanten sana wakuu kwa kusoma naamin mtanisaidia.Narudia tena...
Ajali za barabarani nchini Tanzania zimekuwa zikisikika kila uchao, leo utasikia basi fulani limepata ajali mahali fulani na kuua watu kadhaa kesho napo hali kadhalika, imekuwa kama watanzania...
Kama kawaida yao trafiki hivi sasa wanaendelea kutunyanyasa na kudai faini kwa makosa mbambali mengi y kiwa kubambika kabisa.
Mfano mimi jana nipo barabarani na eneo hilo hakuna watu kabisa...
SHALOM:
Karibu tufahamu ukweli kuhusu neno la MUNGU, na kuacha kuyasikiliza yasiyompendeza na kulichafua Jina la mwenyezi MUNGU.
Zaburi115:4-8
Wazifanyazo watafanana nazo kila...
I have just received this email from a friend.. It has happened to a cashier from TIB (Tanzania Investment Bank)....Please be aware dunia imeharibika
Dear friends
Leo nimeona ni vyema...
WANABODI,
NIMEFUATILIA KWA KINA MUSWADA WAKUUNGANISHA MIFUKO NA KUANZISHA MFUKO MMOJA MPYA (PSSSF), NA HAYA NDIO MAJANGA YA MUSWADA
Muswada wa kuunganisha mifuko ya PPF, LAPF, GEPF na PSPF na...
Kwa wahusika hili vumbi ni hatari kwa afya zetu, tunaomba mtusaidie huu ukarabati wa hiki kipande cha kwenda kwenye stand ya daladala ukamilike tuwe na amani.
Maana hili fumbi ni hatari.
JAFO AFURAHISHWA KASI YA MRADI WA DMDP KINONDONI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo Leo Amefanya Ziara Wilaya Ya Kinondoni Kukagua Mradi Mkubwa Wa DMDP.
Katika Hatua Hiyo...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema magogo 938 yaliyopo Bandari ya Dar es Salaam yatauzwa wakati wowote baada ya wamiliki wake kutojitokeza.
Mwezi uliopita, Kigwangalla...
TAASISI YA WACHUNGAJI TANZANIA.
Imehadili yafuatayo kutokana na kitendo cha MTU anajiita NABII Tito kulichafua Jina la MWENYEZI MUNGU.
1.Mamlaka ya uongozi wa makanisa ya kilutheri kulifumbia...
Nimeikuta kwenye fb page ya Happy Joseph na ninawaleteeni kama ilivyo
TUNAJIFUNZA NINI? (1- Wanawake)
Kwa asili kabisa toka uumbaji, Mwenyezi MUNGU aligawa majukumu. Mwanaume alipewa MAMLAKA na...
Juzi kuamkia mwaka mpya, daktari Mzanzibari alilewa, katika ulevi huo akatoa Maneno yasiyokuwa ya staha kwa Mtume Mhamad SWA, clip hiyo ilionekana mitandaoni, akakamatwa kwa kosa la kumkashfu...
Wadau wa JF
Mamajusi ni neno la Kiswahili ambalo limetokana na Kiarabu 'majus' lililopokelewa kutoka Kiajemi cha kale kupitia Kigiriki.Kwa asili neno hili lilimaanisha makuhani wa dini ya Uajemi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.