Ukweli kuhusu madereva wa UBER juu ya kipato chao

evancegodluck

Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Habarini hapa JF,

Kuna story nyingi sana zinaendelea juu ya madereva wa UBER, wanasema eti wanavuna hela nyingi sana! Sasa naomb akujuzwa hivi ni kweli madereva wa uber wanavuna mamilioni au ni hadithi tu.

Naomba kujuzwa kidogo
 
aiseee hebu ongezea Nyama hii stori yako mbona haijatimia..hayo mamilioni wanayavuna vuna vipi ??
 
Hakuna wateja wakufanya ivunwe milioni,wacha kudanganywa,uber ni mtandao ambao hapa kwetu bado unakua labda kwa baadae.
 
aiseee hebu ongezea Nyama hii stori yako mbona haijatimia..hayo mamilioni wanayavuna vuna vipi ??
Watu wanaongelea hiyo kwamba watu wanao fanya kazi ya kuendesha abiria kwa kutumia mtandao wa uber wanapata fedha nyingi.
 
Habarini hapa JF,

Kuna story nyingi sana zinaendelea juu ya madereva wa UBER, wanasema eti wanavuna hela nyingi sana! Sasa naomb akujuzwa hivi ni kweli madereva wa uber wanavuna mamilioni au ni hadithi tu.

Naomba kujuzwa kidogo
NIKUSAIDIE TU WE MPE HESABU NATAKA HIKI AKISHINDWA TAFUTA MWINGINE..UKIANZA KUCHUNGUZA BATA UTA.....MMMMHARO

MSAADA UKWELI MKUU KUMFWATILIA WAUBBER SAWA NA KUFWATILIA DEREVA WS DALADALA UKIZUNGUKA NAE KILASIKU UTACHEKA HESABU YAKE...MPE NATAKA HESABU KIASI KADHAA KWA SIKU..AKIKUBALI UTAJIULIZA HIZO HELA AMEZIPATA WAPI MKUU....ILI AKUTUNZIE GARI MPE HESABU HUKU WATAKUDANGANYA TU MABILION MARA MAMI MARA MATRI
 
Watu wanaongelea hiyo kwamba watu wanao fanya kazi ya kuendesha abiria kwa kutumia mtandao wa uber wanapata fedha nyingi.
biashara yoyote haikosi matangazo mkuu ..yaweza kuwa hivyo unavyoambiwa lkini wanaonufaika niwachache mnoo tofauti na uhalisia...kwahpa dar kuna maeneo na maeneo..usitaraji kujisajili kama dereva wa uber then ukawa waishi temeke huko then ukazani mzunguko wa huduma yako utakwenda sawa na dereva wa uber wa Mbezi beach...
so hayo maneno unayoambiwa kuwa wanavuna Pesa ..niyakuhamasisha madereva ili wapate kuwa wengi waweze kwenda sawa na kasi ya huduma husika...

nadhani uber wanapaswa kujitangaza zaidi wawe kama watsaap ama Fb ..ili iwe inatumika kwa wepesi zaidi mpka nawatu ambao ni small Lerner's.,wakifikia hatua hiyo basi watakuwa nahaki ya kusema maneno hayo uliyoyasikia...
 
NIKUSAIDIE TU WE MPE HESABU NATAKA HIKI AKISHINDWA TAFUTA MWINGINE..UKIANZA KUCHUNGUZA BATA UTA.....MMMMHARO

MSAADA UKWELI MKUU KUMFWATILIA WAUBBER SAWA NA KUFWATILIA DEREVA WS DALADALA UKIZUNGUKA NAE KILASIKU UTACHEKA HESABU YAKE...MPE NATAKA HESABU KIASI KADHAA KWA SIKU..AKIKUBALI UTAJIULIZA HIZO HELA AMEZIPATA WAPI MKUU....ILI AKUTUNZIE GARI MPE HESABU HUKU WATAKUDANGANYA TU MABILION MARA MAMI MARA MATRI
Ndo nini umeandka
 
Back
Top Bottom