Wana JF,
Saa 3.30 asubuhi hii nitaanza safari ya kwenda Iringa naanzia Arusha, nahitaji abiria 4 lifti, lazima wawe wana jf ili tubadilishane mawazo njiani. taja mji au kijiji ulipo na kituo...
Huyu jamaa Nkamia kwa sasa ni upele wa kisiasa.
Mada anazowasilisha kstika jamii zina ukakasi.
Pengine asingukuwa msoma habari redioni, TBC, asingejulikana kabisa hadi kupata ubunge.
Na sasa ...
Habari za Jumapili
Ni matumaini yangu Mko wazima Wa afya kabisa!
Leo Nimeamua niwaletee mrejesho wa kile nilichokiomba na tukashauriana hapo July 2017
Bora shule ama kazi?
Bora shule ama...
Arusha. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amezitaka taasisi za Serikali na binafsi kuunga mkono agizo la Rais John Magufuli la kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda kwa...
Nikiwa nipo ghetto kwangu nimechoka na harakati za kila siku, nikajitupia kwenye godoro hata neti sikushusha. Nikiwa nimepitiwa usingizi ghafla baadae nikaota kuna sehemu naelekea, nikatembea sana...
Nikiwa nipo ghetto kwangu nimechoka na harakati za kila siku, nikajitupia kwenye godoro hata neti sikushusha. Nikiwa nimepitiwa usingizi ghafla baadae nikaota kuna sehemu naelekea, nikatembea sana...
Duuuh kweli utawala wa Magufuli umekuja kutukazia sheria zilizokua zinavunjwa miaka nenda rudi
Safari za kutoka DSM/Morogoro kwenda mikoa ya kanda ya ziwa kama Mwanza zimekua ndefu mno siku za...
Dotto Rangimoto pichani mwenye bahasha
Unapoongelea sanaa ya ushairi katika ukanda wa Afrika ya mashairiki na Tanzania utakuwa unaongelea moja kati ya sanaa zenye changamoto kubwa sana kulingana...
Ingekuwa mimi ni waziri wa Elimu ningerudisha Ardhi University UDSM, maana yanayoendelea sasahivi kwenye hivi vyuo hata sielewi zaidi ya kusema ni ulafi wa madaraka hasa ukizingatia ukaribu wa...
ZAHANATI mbili zimefungwa kwa kukosa watumishi wa kada ya afya katika Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kupelekea wananchi kusafi ri umbali mrefu kufuata huduma za afya.
Hayo yalibainika juzi...
Habari wakuu wote.
Kwanza nafahamu humu sio TRA wala hii sio forum ya serikali lakini nina imani watu muhimu wanapita humu, hivyo wataliona hili, maana hatuna sehemu nyingine ya kusemea.
Ni...
Rapper wa Marekani Snoop Dogg amesema anampango wa kuhamia Uganda baada ya maneno makali aliyoyarusha Rais Donald Trump kwa nchi za Afrika. ("shithole")
Katika video YouTube, rapa huyo...
Kagame was born to a Tutsifamily in Tambwe, Rwanda-Urundi in October 1957 toDeogratius and Asteria Rutagambwa. In November 1959, an increasingly restive Hutupopulation sparked a revolt, eventually...
Wakuu, nimekuwa nasononeka kila ifikapo mwisho wa juma au sikukuu kukosa pahala pa kujiliwaza mie mwenyewe na hata familia. Natumai mheshimiwa waziri alikuwa akienda kwenye kumbi hizo enzi zile...
Katika hali ya kustaajabisha, maiti za watoto wanaokadiriwa kuwa na umri wa siku moja au zaidi, zinazofikia idadi ya 11, zimefukuliwa katika shimo moja, jirani na maeneo ya hospitali ya...
KOCHA Mkuu Mpya wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre anayetarajiwa kuanza rasmi kazi ya kuinoa timu hiyo kesho Jumanne na kumwezesha kuingiza kiasi cha Sh42,000 kwa kila dakika 60 yaani saa limoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.