BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,011
Ndugu wapendwa kilichomtokea jamaa yangu nimeona vyema tushare msijemkalizwa.
Ndugu yangu amekuwa akitumia vibanda vya njiani kuingizia pesa zaake CRDB mwaka wa tano kutokana na ukaribu amekuwa akitumia vibanda vilivyo karibu na ofisi zake.
Kutokana na uaminifu amekuwa akimtumia dada mmoja wa kibandani hela marakadhaa za biashara na ada while.
MAJUZI ALISAFIRI ALIPOFIKA Moshi ÀKATUMA
Hela kwa yule mdada wa CRDB kwenye simu amuwekee crdb akija atachukua resit yakee.
Kumbe mdada anasiku tatu ametoka kumfanya bosi wake vibaya kwa kumuibia hela, namba za mdada hazipatikani mpaka kesho.
Ushauri
Msiwe mnawaamini sanaa hao madada ama makaka wavibandani, huwezi jua unapotuma kama bado yupo kazini ama lah haijalishi alikuwa hawarayako ama nduguyo.
Pesa hazina uaminifu hats kidogo haijalishi amekuwa akikuhifadhia sh ngapi siku shetani akimpitia hutosahau maisha yako.
Pengine wako mnaotuma pesa kwa hao madada ama makaka wa vibandani, jihadharani siku nyingine wanakuwa hawapo.