Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwaka huu 2018 ni mwaka ambao moja ya malengo ambayo kila mtu anapaswa kuwa nayo ni malengo ya kibiashara. Kama bado hujawa na biashara basi unapaswa kuanza biashara yako mwaka huu. Na kama tayari...
12 Reactions
21 Replies
90K Views
Msaada wana jamvi, Ninataka kununua kabati la vyombo, sasa nimeenda kwa fundi nikakuta kabati kama yale ya kichina lakini siyo ya kichina, fundi akasema ni makabati yaliyotengenezwa kwa mbao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Japo sipendi watanzania wakose kazi ila nachukia kampuni zinazokula hela za serikali kizembe zembe tu... mwalimu anatibiwa nhif huku mfanyakazi bot anatibiwa na AAR agakhan au best hospitals...
8 Reactions
75 Replies
11K Views
Kajala anawauliza wako wapi, Wanafanya kazi gani, Wana umri gani n.k Aise mimi ukinipigia simu, sina namba yako ujitambulishe kwanza.
16 Reactions
138 Replies
20K Views
Nimegundua jamii forum ukiwagusa waarabu au wayahudi mjadala unakuwa mkali sana.. Mbaya zaidi matusi,kejeli na kashfa kibao juu ya imani za watu... Wadau tambueni hizo jamii ni binadamu km wengine...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanabodi naomba tujuzane hivi MZANZIBARI ni kabila gani na linaishi sehemu gani katika mikoa yote ya Tanzania? Hii lugha ya kizanibari salam ya asubuhi wanasalimiana vipi kizanzibari Wasukuma...
1 Reactions
33 Replies
10K Views
Taasisi ya mikopo ya Pride Tanzania ipo taabani kifedha ikidaiwa kushindwa kujiendesha. Licha ya hilo, taasisi hiyo inadaiwa kuwa imeshindwa kutoa mikopo kwa wateja wake na kulipa stahili za...
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa anayefahamu wataalamu wazuri wa kuchimba visima wawe na kampuni inayoeleweka.site ni Dar es salaam -Magomeni. Njoo pm au weka namba nitakupigia
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Mfanyabiashara wa duka kata ya Chamazi, wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam, Mateso Chupi (39) amefikishwa mahakama ya wilaya ya Lindi, akikabiliwa na shitaka la kukutwa na vipande sita vya meno...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jf kwa wachawi au mchawi yeyote anaesoma uzi huu, naomba anipe uhakika kwa hiki nilichokisikia Leo, ya kwamba " Nikiwasha taa usiku kucha, hakuna mwanga wala mchawi atakaeweza kuingia...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Leo tarehe 22/1/2018 nilifika hospitali ya manispaa ya Mpanda wao wakiita hospital ya wilaya Mpanda. Nimefika saa 1 asubuhi lakini pale mapokezi kulikuwa hakuna huduma inayoendelea tokea hasubui...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba kuelezea kwa kifupi sana ubakaji na mazingira yake; Ubakaji ni ile hali ya kuingiliwa pasipo ridhaa au makubaliano ya pande zote (mwingiaji au muingiliwaji). Bahati mbaya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ludwig von Mises (1881-1973 alifanikiwa kuwaza na kuwasilisha kwa weledi mkubwa mtazamo wake pale aliposema: The interventionists do not approach the study of economic matters with scientific...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Jamiin humzaa mtawala, andapo jamii hiyo ni erevu, Basi mtawala pia atakuwa mwerevu na kinyume chake Kabla ya kumlaumu mtawala,Basi jilaumu nafsi yako Tengenea ww kwanza,kiongozi bora atakuja
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Kilimanjaro. Wananchi wanaoishi katika kata hizo wamekuwa wakikubaliana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama. Kutokana na changamoto hiyo, wananchi wa vijiji vya Jipe na Kiverenge...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
IDADI ya watu walioathiriwa na mafuriko ya mvua katika kata 11 za vijiji 16 wilayani Kilosa, Morogoro, imeongezeka kutoka kaya 1,831 zilizokuwa na watu 7,261 na kufi kia kaya 2,701 zenye watu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu hivi imani zote hizi, ukienda Asia watu bilions na wamestawi sana maisha bora. Ukienda huko Mashariki ya mbali pia same thing. Ukienda kwa Wahindi huko na imani zao, unakuta watu wanaishi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoa wa Mara kumkamata na kumuhoji meneja wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wa mkoa wa Mara, mhandisi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom