Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wana JF, Dk Slaa amewaambia viongozi wa dini kwamba anawapenda sana, ila amewasihi wasijiingize katika malumbano yasiyo na tija kwa kuilalamikia jumuiya ya UKAWA, kwani litakuja kuwahukumu...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
JF members, Don't we have anything else that can be the spirit of our Nation than Konyagi (an intoxicated drink containing alcohol)? Who speaks,sows; who listens,reaps! SPIRIT= Strength, Mood...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Watu wengi wanamfahamu nyoka kuna makundi 2 ya nyoka moja wapo ni vernomous snake "Nyoka wenye sumu na wengine ni non vernomous snake " nyoka wasio na sumu.Watu wengi hawana elimu juu ya Nyoka...
29 Reactions
49 Replies
12K Views
Dar es Salaam. Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (Tewuta) kimepongeza hatua ya Rais John Magufuli kumtaka Waziri wa Fedha kuanza uchunguzi kubaini ukweli...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndugu wana jf sasa kuna usafiri wa mbagala rangi3 to Mhimbili moja kwa moja Eicher mpyaaa
1 Reactions
3 Replies
720 Views
Nimekuta mjadala uliokuwa ukizungumzia changamoto ya usafiri na abiria hasa nyakati kama hizi za mwisho wa mwaka. Mojawapo ya hoja ya kutaabika kwa abiria wakipandishiwa nauli hovyo ni kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Naomba kuwakilisha Wakuu, Nimekuwa nikitembea sehemu nyingi nje ya nchi yetu. Kitu kimoja sijakiona ni mchanganyiko wa biashara za kila aina kwenye makazi ya watu na hata industrial areas...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
*SHEIKH AHMED ISLAM NIMJUAE* *Ramadhani K. Dau* Ilikuwa siku ya Jumamosi tarehe 23 Disemba 2017, majira ya saa 5 usiku kwa saa za Malaysia nilipopata ujumbe mfupi wa sms kutoka kwa *Sheikh...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
kulitokea mfalme mmoja katika nchi ya Tanzagiza mfalme aliahidi maisha bora kwa watanzania aliahidi ataongeza ajira kwa kujenga viwanda aliahidi maisha ya wafanyakazi wake yatalkua bora...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ningepends kufahamu ile Barua walioandika Wazungu ambayo tulionyeshwa hapa JF kwa Serikali yetu kuhusiana na tukio la Tundu Lisu, ilifikia wapi? Kuna anayeweza kunipa mrejesho? Tuliambiwa na...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Hivi kwani muafaka wa watu wasiojulikana ktk jamii haujapatikana! Au mpaka mwakani??
0 Reactions
1 Replies
672 Views
Mahakama ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela Baraka Simon (24), mkazi wa Kijiji cha Muranda, wilayani hapa, baada ya kukiri kosa la kubaka mwanafunzi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Habari wakuu,Leo nimejionea mambo hatari sana imenilazimu niyalete hapa jamvini wenye kujua undani wake mtujuze... Mida ya saa moja jioni giza likiwa limeingia Leo,niliona utitiri wa vijana wadogo...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanza kabisa nitangulize kusema kwamba mimi sina ushabiki na chama chochote cha kisiasa na sitakaa nishabikie siasa hata siku moja Pili sipingani na uongozi uliopo madarakani wala sishabikii na...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Hii channel nimekua nikichek kwa zaidi ya miaka kumi.Yaani hawa jamaa hakuna innovation hata kidogo.Wenye hii channel jaribu kufanya marekebisho ya uongozi aisee.Kuna vi channel vipya vinachipukia...
11 Reactions
43 Replies
9K Views
Nimestaajabu kidogo na moja ya comments ya member katika moja ya uzi humu jamvini iliyotolewa na Pohamba kuhusu hii jumbo camera iliyowafanya Rizimoja na Zitto kuumia zaidi kuliko mke wa marehemu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za uhakika nilizozipata sasa hivi toka Msimbati zinasema kuwa kuna gari ya afisa usalama wa taifa mmoja toka Dar linapondwa kwa mawe na wananchi wenye hasira. Afisa usalama huyo inadaiwa...
11 Reactions
181 Replies
20K Views
kwa waliokata tamaa kwa namna yoyote ile,mapenzi,uchumi,biashara nk
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Namkumbuka Daniel, alivyofanyiwa hila Na Viongozi. Walijua ataingia mtegoni tu. Namkumbuka Yeremia Alivyo onewa kwasababu ya Wito wake, alipaza sauti Juu ya utawala dhalimu, naye akawekwa...
11 Reactions
49 Replies
6K Views
Niwe tu mkwel jamanii, moja kati ya company za mawasiliano nchin zenye matangazo mazur ya kutangaza huduma na bidhaa zao ni TIGO bna. Hawa jamaa ni wabnifu sna hasa nikkumbuka toka kpnd kile cha...
1 Reactions
6 Replies
928 Views
Back
Top Bottom