Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,743
kulitokea mfalme mmoja katika nchi ya Tanzagiza mfalme aliahidi maisha bora kwa watanzania
aliahidi ataongeza ajira kwa kujenga viwanda
aliahidi maisha ya wafanyakazi wake yatalkua bora
aliahidi atakua na serikali sikivu
alisema yeye ni mtanzagiza yupo kwa watu wote bila kujali itikadi za kisiasa ( nchi yake ilikua mfumo wa vyama vingi)
baaadae akadhihirishia wananchi wake kuwa
MIPANGO SIO MATUMIZI
ALIYESHIBA HAMKUMBUKI MWENYE NJAA
HAKOSEI KWA HIYO HAIRUHUSIWI KUMKOSOA