Nini kinaendelea katika jengo la LAPF usiku?

Status
Not open for further replies.

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Habari wakuu,Leo nimejionea mambo hatari sana imenilazimu niyalete hapa jamvini wenye kujua undani wake mtujuze...
Mida ya saa moja jioni giza likiwa limeingia Leo,niliona utitiri wa vijana wadogo KE/ME wakiingia kwenye jengo la LAPF floor ya 14.
Nilipo uliza mmoja wapo nikaambiwa kuwa kuna sinema maalumu ya dini imeandaliwa na watu fulani,

Na pia vijana wengi hawaijui ni sinema gani wala inaitwaje lkn wanaingia pia hawajui hata ni kanisa gani limeandaa,nikachukua hatua kufuatilia na kukuta vijana mabinti wazuri sana na wakiume wengine wakishikana shikana. Mimi nikajiuliza maswali JE?

1. Kwanini sinema usiku na ukumbi wa jengo umezimwa taa?
2. Kwanini ni vijana wabichi hakuna hata watu wazima au viongozi wa kanisa?
3. Kwanini kama ni sinema ya kanisani ionyeshwe LAPF tena floor ya 14 juu na sio kanisani?
4. Kwanini vijana wanaoingia wengi hawajui hata walioandaa ni akina nani?
5. Kwanini floor ya 14 na isiwe popote panapofikika kwa wepesi?

Maswali haya nimejiuliza saaana naomba kama kuna mtu anafahamu hii kitu anipe hapa mustakabali wake au ndio mfumo wa Satanism unajieneza?

Asanteni na Karibuni.
 
Mtoa mada acha kupotosha, siyo mara ya kwanza kuonyeshwa movie hapo, ni huduma inaitwa bread of Life, (katika moja ya story za Mentor alishawahi hudhuria pia)
Usihukumu usichokijua

Na hapa chini ni tangazo lake
Screenshot_20171229-205308.png
 
Habari wakuu,Leo nimejionea mambo hatari sana imenilazimu niyalete hapa jamvini wenye kujua undani wake mtujuze...
Mida ya saa moja jioni giza likiwa limeingia Leo,niliona utitiri wa vijana wadogo KE/ME wakiingia kwenye jengo la LAPF floor ya 14.
Nilipo uliza mmoja wapo nikaambiwa kuwa kuna sinema maalumu ya dini imeandaliwa na watu fulani,

Na pia vijana wengi hawaijui ni sinema gani wala inaitwaje lkn wanaingia pia hawajui hata ni kanisa gani limeandaa,nikachukua hatua kufuatilia na kukuta vijana mabinti wazuri sana na wakiume wengine wakishikana shikana. Mimi nikajiuliza maswali JE?

1. Kwanini sinema usiku na ukumbi wa jengo umezimwa taa?
2. Kwanini ni vijana wabichi hakuna hata watu wazima au viongozi wa kanisa?
3. Kwanini kama ni sinema ya kanisani ionyeshwe LAPF tena floor ya 14 juu na sio kanisani?
4. Kwanini vijana wanaoingia wengi hawajui hata walioandaa ni akina nani?
5. Kwanini floor ya 14 na isiwe popote panapofikika kwa wepesi?

Maswali haya nimejiuliza saaana naomba kama kuna mtu anafahamu hii kitu anipe hapa mustakabali wake au ndio mfumo wa Satanism unajieneza?

Asanteni na Karibuni.
kuna binti yako ameenda huko? kinakuuma nini, au ni hiyo dini ndo inakuuma?
 
wanaenda kugegedana hao hiyo ni "many some" aisee
 
Kiongozi ungechoma ndani ushuhudie na kisha utuletee habari kamili
 
Mmmmh chadema mnataka kutufikisha hapa??
We tutusa em hapo ulipo jishike usawa wa shingo kwenda juu halafu ona kama kweli hapo ulipo kichwa unacho au umekisahau kabatini nyumbani?stupidity wahed!
 
Jibu nilopata kwa haraka hapo ni pesa imeshaingia kwa walioandaa hiyo event.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom