Nimestaajabu kidogo na moja ya comments ya member katika moja ya uzi humu jamvini iliyotolewa na Pohamba kuhusu hii jumbo camera iliyowafanya Rizimoja na Zitto kuumia zaidi kuliko mke wa marehemu...
Habari za uhakika nilizozipata sasa hivi toka Msimbati zinasema kuwa kuna gari ya afisa usalama wa taifa mmoja toka Dar linapondwa kwa mawe na wananchi wenye hasira.
Afisa usalama huyo inadaiwa...
Niwe tu mkwel jamanii, moja kati ya company za mawasiliano nchin zenye matangazo mazur ya kutangaza huduma na bidhaa zao ni TIGO bna.
Hawa jamaa ni wabnifu sna hasa nikkumbuka toka kpnd kile cha...
Kwenye kurasa ya MillardAyo, kuna habari kwamba, Watanzania wapatao 23 wamekamatwa kwa uvuvi haramu huko nchini Kenya maeneo ya Malindi, kata ya Ilifi. Gazeti la the Citizen
Chanzo: Watanzania 23...
Matarajio ya popote pale ni kwamba kadri barabara zinavyoboreka ndivyo muda wa kutoka mahala kwenda mahala kwingine unapungua. Tanzania kadri barabara zinavyoboreka ndiyo muda wa kutoka sehemu...
Askofu mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Josephat Lebulu ameng’atuka leo, Katibu mkuu wa TEC, Raymond Saba amethibitisha.
Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi, Isaac Amani ameteuliwa kuwa askofu...
Amani ya bwana iwe nanyi.
Sikukuu za mwaka huu tumeshuhudia wimbi kubwa la watu kusafiri kurudi kwao kwenda kusherekea sikukuu pamoja na familia, ndungu zao na rafiki zao. Hili ni jambo jema na...
Sisi Umoja wa Watumiaji Safari Ndogo (UWASN) tunaombeni ninyi kampuni ya bia ya breweries mtuongezee makali ndani ya safari ndogo ili tuenjoy zaidi na kubana matumizi.
Asanteni
Wanajukwa habarin
Polen kwa majukumu ya kazi na shamrashamra za sikukuu ya x-mass na mwaka mpya
Je kiuhalisia na kiuhalali kabisa MWAKA MPYA ni upi kwa mwanadamu
Je ni ile tarehe aliyozaliwa...
Wana JF mnaotumia hii kitu mlishawahi kununua kwa wanaume??? Biashara za wamachinga zipo nyingi na zinafanywa na jinsia zote lakini hii mm inanishangaza wauzaji ni wanawake pekeyao...kwanini...
kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru m/mungu muumba wa ardhi na ardhi, pia na vilivyopo ndani yake.
Mwaka 2017 ulikuwa mwaka wa baraka sana kwangu ijapokuwa ugumu ulipata kutokea miez hii sita ya...
Kwanza kabisa nitangulize kusema kwamba mimi sina ushabiki na chama chochote cha kisiasa na sitakaa nishabikie siasa hata siku moja
Pili sipingani na uongozi uliopo madarakani wala sishabikii na...
Kiongozi wa Kiislamu haruhusiwi kuongea mambo ya Siasa nje ya bakwata, nakumbuka kuna kipindi balukta ilianzishwa ikafutwa na Serikali na Waislamu wametii, lkn nafikiri Nyerere wakati anaunda...
Kwa mwenye Uelewa kuhusu hili naomba anijuze, kuna mtu ameipenda gari yangu na anataka kuinunua, ila ni mkongo na anaishi huko, Naomba mjuzi wa gharama itakayonicost kumaliza mchakato huu kuitoa...
January-Chuma Kinachaji Betri
February
Mapenzi Mubasharaaaaa
List ya wauza unga
March
Bashite
Nape OUT
April
Naliamsha Dude
Roma ametekwa na kupatikana akiwa salama. Hajafanywa chochote
May-Kibiti...
Wakuu kwanza niwape pole kwa jitihada zenu za Ujenzi wa Taifa.
Bila kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada.
Nimeweka kichwa cha habari katika hali ya swali ili niweze kupata maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.