Hahahahhha.....ni kweli nadaiwa ila nina mipango kadha wa kadha kuwalipa wadeni wangu.Mungu ni mwema na ataniwezesha katika hilo.
Kama unadaiwa pia ni sehemu ya maisha be happy..maisha lazima...
Habarini za mwaka mpya wapendwaaaaa. Happy new year to all of us.
Kwanza nashukuru kwa kuwa kwa Mara ya kwanza nimefanikiwa kuingia jamvini humu leo tar01 Jan 2018, ama kweli kwangu hii no...
Ndugu zangu, Namshukuru Mungu Mwenyezi kwa kutuvusha salama mwaka 2017.
Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema wenye upendo, baraka na mafanikio.
Majibu ya changamoto za 2017 yatutie nguvu za...
Ndugu zangu, Namshukuru Mungu Mwenyezi kwa kutuvusha salama mwaka 2017.
Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema wenye upendo, baraka na mafanikio.
Majibu ya changamoto za 2017 yatutie nguvu za...
*MY END OF YEAR APOLOGY*
2019 updates....
"Everytime you hurt me, I apologized because I felt guilty for making you feel bad."
__________________________________________
2018[emoji818]...
nakushukru bwana kwa yale yote uliyonitendea mwaka 2017 asante kunifikisha 2018 nikiwa na afya njema pamoja na familia yangu sina cha kukutolea zaidi ya kusema adante mungu kwa rehema zako...
New Year is fast approaching, and with it the time that we always wait for impatiently. The holidays give us a chance to catch our breath, review the year just passed, balance our accounts, and...
Kwa mujibu wa PGO 198(4&5), dereva wa polisi anatakiwa kutekeleza wajibu ufuatao:
(a) Kuendesha kwa usalama na kufuata taratibu zilizowekwa na sheria na kanuni za usalama barabarani;
(b) Kuendesha...
Habari za mda huu waungwana wa jf.
1.
Napenda kutoa pongezi na salam zangu zote kwa member wote kwa kuwa na busara katika kuendea mada mbali mbali ambazo zinaletwa na member wote humu.
2...
2018 natamani sana kuona watawala wakikubali kusahihishwa, wakifanyia kazi mawazo ya wadau wa maendeleo dhana ya kuwaita wakosoaji ni wachochezi dhana ya kuwaita wakosoaji ni wapiga kelele tuiache...
Hiv kwel mishahara hii hafifu yenye makato makuu,kweel nchi maskin kama hii kwanin mbunge alipwe pesa yote hii?kwa kaz gan haswa anazofanya?mbona tunaish ulimwengu wa kifikirika sana,hiv...
Nimewai soma na Kama watano hivi na nimekutana na wengi mtaani, viganja vyao wakitembea vinanin'ginia kama si vyao vile, kama vimekatika vile,
Mara nyingi wapo vizur kichwani.
Utendaji wa kazi kwenye hili tawi ni tatizo kubwa. Unaweza kukaa kwenye foleni masaa 2 unagojea huduma Tellers wanafanya kazi kama hawataki.Wakati huohuo madirisha mengine ya huduma yamefungwa.Je...
Poleni na majukumu ya kila siku.
Msimu huu ni msimu wa sikukuu na mara nyingi familia nyingi hupenda kwenda kula sikukuu majumbani kwao walikozaliwa maarufu kama "kwenda kuhesabiwa..".
Wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.