Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,081
Nimestaajabu kidogo na moja ya comments ya member katika moja ya uzi humu jamvini iliyotolewa na Pohamba kuhusu hii jumbo camera iliyowafanya Rizimoja na Zitto kuumia zaidi kuliko mke wa marehemu Deo Filikunjombe.
Naomba tujuzwe hasa hii ni kitu gani hasa?
Naomba tujuzwe hasa hii ni kitu gani hasa?